Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwetu sis hamuwashi
Wenyew nyota inawaka
Na tuanzid Kuishi
Hamtopata mnalotaka

Sii hamtutii Moshi
Wala sehemu kiraka πŸ˜€
Saint Anne njoo tutest mitambo kwaajili ya ijumaa
Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje
 
Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje
Yani m wamenikosha Kwa hadija Jamani

Hasid ukifanikiwa
wewe Cheka Kwa Yako
Moyoni anaumia
riziki na namimniwa
Nakiona choyo chako
na kunisema vibaya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ imekaa poaa iyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…