Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzee baba kinandani🔥🔥🔥🔥
 

Attachments

  • IMG_20240913_203836_284.jpg
    IMG_20240913_203836_284.jpg
    3.2 MB · Views: 4
  • IMG_20240913_203900_884.jpg
    IMG_20240913_203900_884.jpg
    2.2 MB · Views: 5
Yani acha tu Hana nyimbo mbaya yule dada 😍
Oooh ulisema wa nini
Mwenzio kaniweka ndani ninamliwaza
Ooh wangu mwandani
Ye anajua penzi nini ananiliwaza🔥🔥🔥🔥🔥
Nimempata muungwana anayenijali miee
Mapenzi yake motomoto twaheshimiana siyee
Kwahuyu nathaminika🥰👌🏿...

Huyu mama ni hatari sana🔥🔥
 
Oooh ulisema wa nini
Mwenzio kaniweka ndani ninamliwaza
Ooh wangu mwandani
Ye anajua penzi nini ananiliwaza🔥🔥🔥🔥🔥
Nimempata muungwana anayenijali miee
Mapenzi yake motomoto twaheshimiana siyee
Kwahuyu nathaminika🥰👌🏿...

Huyu mama ni hatari sana🔥🔥
Usisikite ameniwezesha
yeye niwe namvuto
Usibabaike ukiniona
Nipo nae hatutaki joto😍

Mimi Ile fanya Yako na sitaki shari ni babalao
 
Back
Top Bottom