Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sabaha anaimba yule mama, ikipigwa Debe tupuu navurugwaa. Lol

Sabaha anaimba bhana Yani Hana makeke sauti imetulia anazeeka na sautiyake nzuri
Sabaha ana consistency kwenye sauti yake
Yaani mwanzo mwisho haigomi njiani.

Kopa round ya pili tu chalii
Sauti inapotea
Anabaki kuzunguka chini ya jukwaa kukusanya hela.
 
Huwa nikiiangalia hii mada nacheka sana maana sidhani kama kuna mada imepita misukosuko na vifungo vifupi na virefu kama hii😀
downloadfile-1.jpg
 
Back
Top Bottom