Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nimerudi selfika sasa au bado hujalewa?? 😹Subiri kidogo nilewe kwanza kafue nitakuita😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi selfika sasa au bado hujalewa?? 😹Subiri kidogo nilewe kwanza kafue nitakuita😅😅
Blue tick zimekuwa za hovyo sanaKimerudi ki blue tick 🤣🤣🤣
Basi hapo umemsumbua Max umeenda mpk ofisi za JF, sema wewe pesa huna tafuta Platinum utufokee..!!
Ndio utulie sasa ukifanya fyoko kinatolewa mazima hukipati tena 😂😂
Sasa huu mwaka tunaumalizaje kizembe ivoKumbe mna mabinti na hamsemi 🤣🤣
Ongea nae vizuri/ huyo kukufacilitate uimport kontena nzima la vijora ni dakika sifuri.Kigogo mmoja tu Bantu Lady 😂😂
Mimi kuniweka hapo unanikosea tu, mi mwenyewe nataka mtaji toka kwake.!!
Chino wee msikilize tu Lamomy, huyo tajiri wa Kikinga. Kariakoo iko mkononi kwake. Sasa mimi hata duka moja sina hapo Kariakoo. Yeye ndiyo atupe sisi mitaji.Ongea nae vizuri/ huyo kukufacilitate uimport kontena nzima la vijora ni dakika sifuri.
a ukweli aupokeeMuache afanye irrigation of heart 😃
Na umetaradadiiiiiiii!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi umerudii[emoji1787][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii acha fujoooo, khaaaahKwetu sis hamuwashi
Wenyew nyota inawaka
Na tuanzid Kuishi
Hamtopata mnalotaka
Sii hamtutii Moshi
Wala sehemu kiraka [emoji3]
Saint Anne njoo tutest mitambo kwaajili ya ijumaa
Sabaha Salum? Hatokuwepo capital city?Bure mwapapatika mahasidi
Na wazushi nyie,
Hizo zenu hekaheka mimi
Hazinikondeshi mie,
Majungu mnayopika...[emoji91][emoji91][emoji91]
Nimehuzinika yule mama mzuri Sabaha wamemtoa nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii umechachukaaa, aaaah wee.Na hili hili Kaa la moto
Kwako nalishindilia upone maradhi ya husda
Acha mambo mambo ya kitoto
Huo wa ugonjwa wa kujitakia
Tabu Raha ya chuki ni shida [emoji2]
Saint Anne
Nilikuwa natest 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii umechachukaaa, aaaah wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimerudi ki blue tick [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi hapo umemsumbua Max umeenda mpk ofisi za JF, sema wewe pesa huna tafuta Platinum utufokee..!!
Ndio utulie sasa ukifanya fyoko kinatolewa mazima hukipati tena [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu em niwacheeee, ntapasua mbavu zangu buree,Za gugo udugu mi pesa nizitoe wapi? [emoji23][emoji23]
Hapa nataka nimuite oddo Bantu Lady boss kubwa aniwezeshe kuni boost mtaji wangu wa vijora.. [emoji1787]
Shangazi Kopa anaupiga mwingi kuamsha jukwaaYani m wamenikosha Kwa hadija Jamani
Hasid ukifanikiwa
wewe Cheka Kwa Yako
Moyoni anaumia
riziki na namimniwa
Nakiona choyo chako
na kunisema vibaya 😃😃😃
Sabaha anaimba bhana Yani Hana makeke sauti imetulia anazeeka na sautiyake nzuriShangazi Kopa anaupiga mwingi kuamsha jukwaa
Ila kwa kuimba
Hakuna mtu anamfikia Sabaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah uduguu wee.[emoji23][emoji23][emoji23] halafu ujue unamjua sema sikushtui ungecheka sana.!!
Sisi tunajua USA hawalimi mahindi km zao la biashara ila la kulishia mifugo… [emoji23][emoji23]
Ila yy huku analalamika mpk bei za kuuza sokoni ndogo..!! Na mbolea bei
Ulipotelea wapiii wee mzee wa Range?? Woiiiiih.It has been a while whats up my people
Mvuvii haramuuu!!
Beautiful Gal [emoji91][emoji91][emoji91]