Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jaribu inanoga sanaHii ktu nitajaribu siku moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu inanoga sanaHii ktu nitajaribu siku moja
Min hizi sizitaki weka pic yako bana 😂Hapo mwaka jana nilitembelea rombo
Unakopa ili ulewe🤣🤣🤣🤣nimekopa kausha damu nikafuraishe moyo Bantu Lady Lamomy
Itakubali tuWacha tuone ila VAR inagoma huku 🤣🤣🤣
Oyoooooo.!! Mwachi unakula bata leo mdogo wangu!! Nipe location nitimbe basi 😍😍nimekopa kausha damu nikafuraishe moyo Bantu Lady Lamomy
Life is too short 🤣🤣🤣Unakopa ili ulewe🤣🤣🤣🤣
Selfika basi mrembo 😜Itakubali tu
fishmarket (Capetown) ahahha😅 ur welcomeOyoooooo.!! Mwachi unakula bata leo mdogo wangu!! Nipe location nitimbe basi 😍😍
Em angalia vizuri unaweza ukaniona ujue 🤣🤣🤣fishmarket (Capetown) ahahha😅 ur welcome
acha utani au ndio ww ulie kaa na babu wa kizungu hapa 😆😆😆 utaniEm angalia vizuri unaweza ukaniona ujue 🤣🤣🤣
😂😂😂 Mi na vibabu vya kazi gani??acha utani au ndio ww ulie kaa na babu wa kizungu hapa 😆😆😆 utani
kavaa gauni😂😂😂 Mi na vibabu vya kazi gani??
Hao wawachukue wadangaji, mimi nipo na shost yangu mmoja hivi..!
Sema ulivyo kichaa unaweza kutufata sitoi maelezo mengi..!
Tulia wewe 🤣🤣kavaa gauni
ahahah embu agiza mojito Inifikie hapaTulia wewe 🤣🤣
😂😂😂 Tulia hapo hapo muda wa band utaniona nikiyarudi masebeneahahah embu agiza mojito Inifikie hapa
nitakuwa nishaama kiwanja band leo naona.haipo good😂😂😂 Tulia hapo hapo muda wa band utaniona nikiyarudi masebene
Nzuri sana mdogo wangu. Raha jipe mwenyewe. Nimefurahi #selflovenimekopa kausha damu nikafuraishe moyo Bantu Lady Lamomy
we acha tu ndugu moyo ukitaka kitu bas ukai kwa aman mda wote unapurukuta tuUnakopa ili ulewe🤣🤣🤣🤣
kabisa ukisubiri kupewa utapewa umezeeka ata meno ya kutafuna nyama yatakuwa yashatokaNzuri sana mdogo wangu. Raha jipe mwenyewe. Nimefurahi #selflove