Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
hongereniπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ umekosa kumuona my babe. Ni balaa π₯π₯π₯π₯ mpaka sasa anaongoza kwa wanaume wa Selfika.
ππππππππππ nimecheka hadi machozi, eti imebarikiwa ugomvi na ubishi π€£π€£π€£π€£π€£πππππ Odo hebu niache kwanza. Mbavu zinauma dahYani mmechaguana wote mna magari na pesa dah!! ππ
Mi couple yangu imebarikiwa ugomvi na ubishi π€£π€£π€£
ππππ π π ila wewe unafurahisha ase
inashangaza ila tufanyeje sasa mkuuata pikipiki
Mungu akutunzeπππ
ndio tupo tunasimangwa hapa sisi ambao hatuna magariinashangaza ila tufanyeje sasa mkuu
ππππ Acha tyuu.!!ππππππππππ nimecheka hadi machozi, eti imebarikiwa ugomvi na ubishi π€£π€£π€£π€£π€£πππππ Odo hebu niache kwanza. Mbavu zinauma dah
Tupia picha acha siasaYani mmechaguana wote mna magari na pesa dah!! ππ
Mi couple yangu imebarikiwa ugomvi na ubishi π€£π€£π€£
kijana ulipotea
Me & my babe leo tutakavyojipongeza kwa ushindi wa Yanga πππTupia picha acha siasa
Umeanza miosho sasa πππhumu jf nimekuja kugundua kuna watu wengi wananikubali sema tu ndio hawatak kukili ilo nafwatiliwa na wengi sana ase haya na mm nawasalimu nawapenda pia
Amkia wakubwa kwanza.kijana ulipotea
shikamooooooooooooAmkia wakubwa kwanza.
Nimemlipa my bae kikiboxer π π π πOdo unatufokea na tako la nyani π₯π₯
ahahaah kuna kitu nimeambiwa uko pm na pm mpya that why najitamba au unataka ku.ilogaUmeanza miosho sasa πππ
ngoja na mm niwalipeNimemlipa my bae kikiboxer π π π π
Ulipe na la pembeni sawa?ngoja na mm niwalipe
nikitumipia langu hapa selfika watanirogaUlipe na la pembeni sawa?