Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Uoga huo boss, nipe password yako nikusaidie kufuta 😜Bantu na Lamomy naomba mnisaidie kufuta zile comment zenye Attachments Bantu Lady Lamomy. Good morning
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga huo boss, nipe password yako nikusaidie kufuta 😜Bantu na Lamomy naomba mnisaidie kufuta zile comment zenye Attachments Bantu Lady Lamomy. Good morning
Itakutoa damu shauri yako 😂😂Acha mishangazi inikaushe 😄
Aah tajiri ndio unaonekana leo tangu majuzi.🙌Uoga huo boss, nipe password yako nikusaidie kufuta 😜
Pole sanaBado kidogo.
Sema naonekana onekana angalau
Mambo mengi tajiriii 😂Aah tajiri ndio unaonekana leo tangu majuzi.🙌
😂😂Mpana wewe 😂😂
Mi niko mkoani Mpwapwa huku na gari lenyewe sina sijui itakuwaje?? 😹😹😂😂
Nipo gereji magari mengi nikiona tu najua hili ni lipi. Karibu tukuhudumie tupo tandale darajani
😂😂Mi niko mkoani Mpwapwa huku na gari lenyewe sina sijui itakuwaje?? 😹😹
Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 odo msaidie shemeji yako, picha ifutike. Hatuogopi but unaelewa mambo ya hapa. Kwenye ile comment ukiifuta yako, atatoweka. Eti password weee nitakuta manyoya Odo ake.Matajiri mbona waoga sana 😹😹😹
Nipeni password zenu niwasaidie kufuta namna gani?!!
Nitag kwenye comment yake nifute, lakini shem naye muoga..!Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣 odo msaidie shemeji yako, picha ifutike. Hatuogopi but unaelewa mambo ya hapa. Kwenye ile comment ukiifuta yako, atatoweka. Eti password weee nitakuta manyoya Odo ake.
Lamomy Hii Odo ake 🥰🥰🥰He! He! He! 😍😍😍
Jamani mbona kuna wakaka wazuri humu??!! 🙆♀️
Mkuu umeoa?? 🤣🤣🤣
Hiyo ndinga sasa?!! Jamani watembea kwa miguu tunafokewa sana.!!
Bantu hana maneno mengi, na ndio sifa halisi za mabossladyNitag kwenye comment yake nifute, lakini shem naye muoga..!
Mmechaguana wote waoga na wapole wenyewe 😍😍
Hamtaki makuu nyie hata kugombana mnasikia uvivu.!
Penzi lenu limepoa sana…itabidi niwaige 😹😹
Maskini ndio tuna kelele 🤣🤣🤣Bantu hana maneno mengi, na ndio sifa halisi za mabosslady
Ahsante Odo ake 😘😘😘😘 kwakweli itabidi tukupe tu, naona ukiiacha picha kwa dakika nyingi, watu wakiquote haifutiki.Tayari mnipe password zenu ili ikijitokeza tena niwasaidie kufuta bila usumbufu 😜
Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweliMaskini ndio tuna kelele 🤣🤣🤣
Anipe mtaji na mimi nianze kujikongoja niwe km yeye niache kelele 😹
Shem namuelewa wee mwache anicheke tu. Iko siku nitambamba Kariakoo kwenye duka lake. Wakinga habari nyingine. Kuna wakinga watatu, nawafahamu yaani wanashindana kuporomosha mahotel na ukumbi kwa mpigo.Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweli