Uoga huo boss, nipe password yako nikusaidie kufuta πBantu na Lamomy naomba mnisaidie kufuta zile comment zenye Attachments Bantu Lady Lamomy. Good morning
Itakutoa damu shauri yako ππAcha mishangazi inikaushe π
Aah tajiri ndio unaonekana leo tangu majuzi.πUoga huo boss, nipe password yako nikusaidie kufuta π
Pole sanaBado kidogo.
Sema naonekana onekana angalau
Mambo mengi tajiriii πAah tajiri ndio unaonekana leo tangu majuzi.π
ππMpana wewe ππ
Mi niko mkoani Mpwapwa huku na gari lenyewe sina sijui itakuwaje?? πΉπΉππ
Nipo gereji magari mengi nikiona tu najua hili ni lipi. Karibu tukuhudumie tupo tandale darajani
ππMi niko mkoani Mpwapwa huku na gari lenyewe sina sijui itakuwaje?? πΉπΉ
Jamani π€£π€£π€£π€£π€£ odo msaidie shemeji yako, picha ifutike. Hatuogopi but unaelewa mambo ya hapa. Kwenye ile comment ukiifuta yako, atatoweka. Eti password weee nitakuta manyoya Odo ake.Matajiri mbona waoga sana πΉπΉπΉ
Nipeni password zenu niwasaidie kufuta namna gani?!!
Nitag kwenye comment yake nifute, lakini shem naye muoga..!Jamani π€£π€£π€£π€£π€£ odo msaidie shemeji yako, picha ifutike. Hatuogopi but unaelewa mambo ya hapa. Kwenye ile comment ukiifuta yako, atatoweka. Eti password weee nitakuta manyoya Odo ake.
Lamomy Hii Odo ake π₯°π₯°π₯°He! He! He! πππ
Jamani mbona kuna wakaka wazuri humu??!! πββοΈ
Mkuu umeoa?? π€£π€£π€£
Hiyo ndinga sasa?!! Jamani watembea kwa miguu tunafokewa sana.!!
Bantu hana maneno mengi, na ndio sifa halisi za mabossladyNitag kwenye comment yake nifute, lakini shem naye muoga..!
Mmechaguana wote waoga na wapole wenyewe ππ
Hamtaki makuu nyie hata kugombana mnasikia uvivu.!
Penzi lenu limepoa sanaβ¦itabidi niwaige πΉπΉ
Maskini ndio tuna kelele π€£π€£π€£Bantu hana maneno mengi, na ndio sifa halisi za mabosslady
Ahsante Odo ake ππππ kwakweli itabidi tukupe tu, naona ukiiacha picha kwa dakika nyingi, watu wakiquote haifutiki.Tayari mnipe password zenu ili ikijitokeza tena niwasaidie kufuta bila usumbufu π
Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweliMaskini ndio tuna kelele π€£π€£π€£
Anipe mtaji na mimi nianze kujikongoja niwe km yeye niache kelele πΉ
Shem namuelewa wee mwache anicheke tu. Iko siku nitambamba Kariakoo kwenye duka lake. Wakinga habari nyingine. Kuna wakinga watatu, nawafahamu yaani wanashindana kuporomosha mahotel na ukumbi kwa mpigo.Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweli