Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa tunafanyaje na hizi nywele? Ma auntie msaada tafadhalini….

View attachment 3099192
Napenda mtoto abanwe hivyo, anyway mnaweza kumsuka mabutu makubwa, ya njia mbili. Pia anaweza sukwa vibutu vidogo vidogo akabanwa, viwili kila pande vikaachiwa kwa mbele. Au akasukwa kawaida style ya kitoto bila kuzikaza nywele sana.
 
😅😅😅a
Kama mtoto hapendi kushikwa shikwa kichwani awe anambana tu hivyo au amnyoe kuliko kumsuka, mi mwnyw nywele zinaniumaga sana sema ndo hivyo nakomaa kibishi na kusuka

Sasa mtoto mwenyewe si unaona unywele umegraduate? Hautakiwi kuupaka chochote ili hata kama anazibana ziendelee kuwa laini ?

Najua Nyani Ngabu yeye mtaalamu wa kufunga udevu, ameuwekea bajet matata, ukimpa mwongozo wa mafuta au chochote kinachohusu matunzo ya nywele za binti, itafaa pia

Shukrani Kwa maelezo mazuri ya awali. Siku njema.
 
Mbona siku njema ya haraka hivyo unaenda wapi kwenye vikao vya wastaafu?😅😅

kichotara kimetulia acha atuwakilishe

Asante Monk na kwako pia siku njema
 
😅😅😅a
Kama mtoto hapendi kushikwa shikwa kichwani awe anambana tu hivyo au amnyoe kuliko kumsuka, mi mwnyw nywele zinaniumaga sana sema ndo hivyo nakomaa kibishi na kusuka
Ndo❌
Ndiyo ✅
Mi❌
Mimi✅
Mwnyw❌
Mwenyewe✅
 
Napenda mtoto abanwe hivyo, anyway mnaweza kumsuka mabutu makubwa, ya njia mbili. Pia anaweza sukwa vibutu vidogo vidogo akabanwa, viwili kila pande vikaachiwa kwa mbele. Au akasukwa kawaida style ya kitoto bila kuzikaza nywele sana.
Kumbe wewe ni professional wa style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…