Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba mtu ana ndevu km Ossama πŸ˜‚πŸ˜‚
Weee 🀣.

Moja, ushawahi kuona simba dume asiye na Ndevu?

Mbili, zile za Osama hazikuwa na matunzo.

Yaani kabisa hizi zangu unazilinganisha na za Osama? Hebu cheki hiyo line-up….



Sidhani kabisa kama Osama alikuwa na hizi nyenzo za matunzo.




Tatu, sidhani kama Osama aliwahi kupata hata compliment moja kuhusu ndevu zake 🀣.

Yours truly hapa napata compliments kila kona, ikiwemo hapa JF kupitia PM πŸ˜‰.

Put some respect on my beard πŸ˜€.
 

Mkuu nimesha andika hapa kwamba suala zima la bajeti ya matunzo ya ndevu zako imechangamka, watu wanafikiri masihara, bora umeweka ushahidi.
 
Mh! Sawa mjukuu. Si unaona vile kidevu kimechafuka na mvi, kuna uheshimiwa hapo?

View attachment 3100051

Uwe na asubuhi njema, yenye baraka na mafanikio.

Acha nikapate upepo wa ufukweni asubuhi asubuhi mwili uchangamke.
Ni waheshimiwa tu ndo wanaweza kupata huo upepo wa ufukweni tena asbh asbh, una rangi nzuri sana na ndevu saaasa, dume la mbegu
 
Ni waheshimiwa tu ndo wanaweza kupata huo upepo wa ufukweni tena asbh asbh, una rangi nzuri sana na ndevu saaasa, dume la mbegu

Sasa ufukweni si Kwa wavuvi wa Samaki? Nchi yetu Bado hawazuii kutembelea fukwe za bahari Kwa raia wake.

Weeeeee thubutu, rangi nzuri? Hizi simu hata kama za bei rahisi ila kwenye manjonjo ya kuongezea nakshi nakshi kwenye picha wamejitahidi. Picha imepigwa kiwi na polishi hiyo.





Napenda tu kutazama maji au kijani Cha msitu wa asili, vichaka na hali ya hewa nzuri asubuhi au jioni.
 
Hiyo kupenda kutazama maji na misitu ndipo uheshimiwa wenyewe ulipo hapo, una rangi kali sana sio cha simu wala nini
 
Wewe huyo naye unamjibu ili iweje hakustahili kujibiwa ungekausha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…