Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mr A tenaah.!! 🀣🀣
Huyo anaonyesha hata yy km zimesoma namba A 😹

Sitaki case na wazee wa watu, nishazoea wana wa Israel watu wa mataifa, wabishi na jeuri km Farao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unamfahamu kwa jina linaanzia na S ,

Kwahiyo umegoma kuselfika nimpatie picha yako ya sasa?🀣
 
Shem lake hilo kiuti kimekaa mahala pake awwhh Kapeace shosti umejipata 🀣🀣🀣

Shem wewe mimi nizoee ndo nilivyo hata usinitilie maanani, nna stress za pesa 😹😹
Wewe kikubwa unahema gari tutakodi hata bajaji πŸ˜‚

Mh!

Gari ya kukodi imeshapatikana, Sasa sijui kitu Gani kingine kitafuatia

Screenshot_2024-09-23-21-21-34-62_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg

Screenshot_2024-09-23-21-17-41-51_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg

Ngoja nimalizie kikao Cha wastaafu kwanza

IMG_20240923_213604.jpg
 
Unamfahamu kwa jina linaanzia na S ,

Kwahiyo umegoma kuselfika nimpatie picha yako ya sasa?🀣
S tenahh.!!
Weeh nawe unaanza kunitajia watu siwajui Huyo S wa wapi??!!
Usije kunipa mume wa shangazi ukanitafutia balaa mwenzio sitaki hekaheka na waja ss hivi.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mara A mara S halafu sina mpz mwenye hizo herufi, babe wangu anaanzia na N πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
S namfahamu kwa jina la A,

Kijana uliyemnyima kwa bibi enzi zako za ujana.
🀣
 
Back
Top Bottom