Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Hahaha sawa kijana, ngoja na mimi leo nipite . . .wataogopa hapa kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa kijana, ngoja na mimi leo nipite . . .wataogopa hapa kaka
Ngoja nilale mie kabla kisukari hakijapanda😂😂😂Amani itoke wapi watu wanatekwa 😂😂😂
Mahi Nkamu wangu ana kitu kimemkaba nataka nimsaidie akitoe.!!
Ujue kukaa na kitu moyoni sio vizuri unaweza kupata kiungulia 🤣🤣🤣
Odo una balaaa mamaahhh 😍😍😍Lamomy TBT hii. Haikai View attachment 3104763
Ooh vizuri kusikia hivyo. Selfika basi, na mbona umecheka nilivyokujibu salamu? 🙄Am good, nilikua nashangaa tu hio figure namba V8...
We kweli bantu lady...
Na mie nikaweke x niangalie 😹😹Ngoja nilale mie kabla kisukari hakijapanda😂😂😂
you finna post old man?Hahaha sawa kijana, ngoja na mimi leo nipite . . .
Hips mfarakano hazina ushirikiano 😂😂😂Hips zipo sio za kukaa upande upande km alizosema Saint
Mimi hapa nkamuKumekucha 😂😂😂😂
Nkamu nilitaka kuaga naona unanivuta niendelee kukaa 😹
Nani anaforce na kuinamisha camera kwani??
Au coca?? Hebu mtaje kwanza
Nina vihips ila kwa bantu sitoboi nilitaka niwawekee yangu ila nimeghahiriHips mfarakano hazina ushirikiano 😂😂😂
Bora wawe flat km mimi basi kwani kuna shido?
What’s got you feeling lit?you finna post old man?
Tunaendelea tulipoishia 😂😂😂Mimi hapa nkamu
Si umeona avatar nimeforce kulaza camera😂
Sena bahareee
Kaoge mweee
Nkamu macho yako yana darubini?Nkamu kuna vayolensi una roast nakuzoom 😂😂😂
Lakini Odo jamani Odo mweeh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kaone kwanza karembo haka. Nataka mwili kama wako, nitajipunguza mpakaaaOdo una balaaa mamaahhh 😍😍😍
Nyie kumbe tunaishi na malaika duniani??
kikiboxer shem jishike hilo odo la moto watakuibia aloooh 😂😂😂
Ndio nataka kula hapaTunaendelea tulipoishia 😂😂😂
Nkamu umekula takapela chungu leo 🤣
Mbavu zinaniuma mwenzio
Nilikuuliza 'dada habari?' kama kutoa appreciation na kukubali neema za Allah, ukanijibu kama nimekusalimu ukaongeza na habari za siku... Thats why nilicheka 😃Ooh vizuri kusikia hivyo. Selfika basi, na mbona umecheka nilivyokujibu salamu? 🙄
Weka tu mwayaNina vihips ila kwa bantu sitoboi nilitaka niwawekee yangu ila nimeghahiri
Nitakuchapa unajua 😅😅😅😅 za upande upande. Mtakatifu Anne naye ana maneno kama Odo wangu. Utasema mapacha, wanachekesha balaaHips zipo sio za kukaa upande upande km alizosema Saint
Safi kabisa, inapendeza kijana but haka ni katoto mbona? 30 years itakuhusuhuyu hapa
Let's see that 'whole recipe' you said you got.What’s got you feeling lit?