Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina vihips ila kwa bantu sitoboi nilitaka niwawekee yangu ila nimeghahiri
Mahi weka kuna wengine wanapenda vihips vya “please call me” 😂😂😂

Huyo bl hips zake za bundle la mwaka “Tandam” hilo lina watu wake..!!
Km kina kikiboxer

Hizo zako za wastaafu slow motion km bata wanafoka ah ah ah 🤣🤣🤣
 
Hips za please call me!!!!😂😂😂aaah nimekushindwa🙌🙌
 
Nkamu macho yako yana darubini?
Unaona vayolensi isiyoonekana

Wewe ni kiboko
Kama bwana wa majeshi Alivyofanya njia pasipo na njia😂
Ila tumeambiwa tusitaje Mungu kwenye ujinga
😂😂😂 Nkamu ww weka tutatubu kesho, Yesu alikufa kwa dhambi zetu..!
Sasa dhambi zenyewe ndio km hiz kumtaja Mungu bila sababu 😹
 
Back
Top Bottom