Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mahi weka kuna wengine wanapenda vihips vya “please call me” 😂😂😂Nina vihips ila kwa bantu sitoboi nilitaka niwawekee yangu ila nimeghahiri
Huyo bl hips zake za bundle la mwaka “Tandam” hilo lina watu wake..!!
Km kina kikiboxer
Hizo zako za wastaafu slow motion km bata wanafoka ah ah ah 🤣🤣🤣