Hiyo Age huku haiko na adabu kabisa ni vi-too much jangiri ,hamna kitu mtafanya.15 huko kwe
nu hakuna walika kama yeye unip mwingine
Nyie wazungu wa kwa mtogole mkalale naona mnavizia pic za nyeto πΉπΉrespect+π
I can see you're a man of sauce
I'm being polite...Youβre putting me on a pedestal kijana just donβt trip hata kwa bahati mbaya
Sitaki dhambi za rejarejaBado halijanyolewa kwa meno πππ
Mchaka chinja adi nselema hadija πΉπΉ
Mtori wa kauzu dah.!!
tunaowavizia hamjishughulishiNyie wazungu wa kwa mtogole mkalale naona mnavizia pic za nyeto πΉπΉ
Nyie ni wapuuzi sanaπ€£π€£π€£π€£Mahi weka kuna wengine wanapenda vihips vya βplease call meβ πππ
Huyo bl hips zake za bundle la mwaka βTandamβ hilo lina watu wake..!!
Km kina kikiboxer
Hizo zako za wastaafu slow motion km bata wanafoka ah ah ah π€£π€£π€£
Na mashem tusivyo na misimamo sasa ππHapa shem ni tatizo hili. kama naona ushindani utakavyoongezekaπ
Hakuna wa kupinga Igweeeeeee ππNani apinge
VAR ikisema ndiyo?
Halafu tajiri sasa
Ana vocha za jumlajumlaπ₯π₯
πππππ naona aibu. Niringe nini kipenzi na duniani tunapita tu hapa. Mimi kila mtu kwangu sawa. Ahsante mdogo wangu niliacha uone ili niairudie. Now naifuta π₯°Bantu Lady dadaake nimeona aisee wew ni noma na nusu mshape huo alafu hata huringi aisee β€οΈβ€οΈβ€οΈ
πππ kuna viumbe pic zao za mateso sana, si wajikubali km mimi jomooooniMpaka nikae upande na camera ishikiwe kwa chini ndo zinakuja, kuna cousin ndo zake hizo basi nachekaga
Ulikuwa hujafuta muda wote huo aah una moyo wa mapendo mi nikiweka ni sekunde natoaπππππ naona aibu. Niringe nini kipenzi na duniani tunapita tu hapa. Mimi kila mtu kwangu sawa. Ahsante mdogo wangu niliacha uone ili niairudie. Now naifuta π₯°
Akiinamisha tu CameraHakuna wa kupinga Igweeeeeee ππ
ππππ sema hata kidogo nkamuSitaki dhambi za rejareja
Tupo busy kuombea taifa
Kujikubali ni kipengele kizito,πππ kuna viumbe pic zao za mateso sana, si wajikubali km mimi jomooooni
Wii zipo mpk za βnipige tafuβ ππNyie ni wapuuzi sanaπ€£π€£π€£π€£
Mtatuvunja mbavu
Namsalimu Countrywide kwa jina la Bwana wa majeshiππππ sema hata kidogo nkamu