Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibaki🥺 Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi 🥰
Hilo ndo linafanya nisiutake huu uzi wanajifanya hawaoni maombi yetu
 
Mtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibaki🥺 Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi 🥰
Hatutaki bhana
 
Ila roho inauma monk hajaona 😥
Naye huyo mama chanja wake mpigania uhuru anamkosesha mambo mazuri huku 🤣🤣🤣
We bhana hebu nisaidie wafute ujue we ndo umenishawishi kufanya nilichofanya🤣🤣nimekugaya
 
Back
Top Bottom