Kabisa yani, wafanye kufuta ndo maana mie zako sikuzi-quoteNdiyo maana niliandika comment kitofauti, kupisha kuquote. Nilijua itabaki. Ingekuwa watu wote hatuquote picha. Mbona tungekuwa tunaselfika sana humu.
bo wewe dadaMlale sasa
Shemeji bado hajaona 😹😹Mlioniquote mfute comment zenu msinipe kisukari saiv
We nyoooko kweli nitakutumia pm basiShemeji bado hajaona 😹😹
Kama uliiweka as attachment ukifuta inafutika poteKabisa yani, wafanye kufuta ndo maana mie zako sikuzi-quote
Una balaa Weeh sio kwa urembo huo mahi 😂😂😂Kubwa la maadui wewe tena!! Team fisi maji
Ila roho inauma monk hajaona 😥We nyoooko kweli nitakutumia pm basi
Wewe mwebrania akili zako zinakutosha mwenyeweNimeona nilienda kukojoa na kuzima taa kwanza 😂😂😂
Kapeace ana balaa km malkia wa sheba 😹
Hilo ndo linafanya nisiutake huu uzi wanajifanya hawaoni maombi yetuMtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibaki🥺 Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi 🥰
Hatutaki bhanaMtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibaki🥺 Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi 🥰
We bhana hebu nisaidie wafute ujue we ndo umenishawishi kufanya nilichofanya🤣🤣nimekugayaIla roho inauma monk hajaona 😥
Naye huyo mama chanja wake mpigania uhuru anamkosesha mambo mazuri huku 🤣🤣🤣
Na watakuwa wamechoka kama mwizi aliyetoka kukimbizwaKachoka leo alikuwa busy kuzuia maandamano 🤣🤣🤣
mshangazi MPANA kwelikweli😋Mlioniquote mfute comment zenu msinipe kisukari saiv
Irudiwe 😭😭Kwa kweli ninalo la kuwasimulia. Si mchezo, watu mmetulia kimya kumbe vifaa haswa. Hongera kipenzi. Sijui hawa cheka tu wamepotelea wapi. Lamomy Saint Anne mnapitwa na vitu vizuri huku ohooo
unitag nifuteMtusaidie picha zifutike. Kila aliyetuquote afute comment tunaomba. Mimi nitawarahisishia kuwatag. Mfute picha zisibaki🥺 Tukubaliane, wengine tukiweka picha mtu asiquote ile ya picha, iwe rahisi kufutika ni ombi 🥰
Nimeedit reply yangu nimefuta pic yako mahi usijali 😍😍Kabisa yani, wafanye kufuta ndo maana mie zako sikuzi-quote
Mi najua sasa kaka!!! Nimeona full image huyo nikatuma 🤣🤣🤣Kama uliiweka as attachment ukifuta inafutika pote