Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kucha, mazoezi ya kutengeneza shape, wengine kubandika nyusi n.k

Kuna wanawake wameamua kunyoa nywele akiamka asubuhi anachana tu nywele...

Kumbe complications kibao.. poleni sana...
Nimeitikia Kwa nguvu Asante🤣🤣
Sie had Dunia iishe tuko hoi siku moja nisindikiza mtu kariakoo nasikia anasema nataka matobo nikaduwaa 🤣🤣🤣 khe kutolewa Tait zenye tobo kwenye makalio kuuliza kazi yake et kunyanyua Tako 🤣🤣🤣

🤣🤣Nilicheka had muuza duka akaanza kucheka na yeye sikuwah kuona kile kitu laivu 🤣🤣
 
Mi si mpenda picha hani wangu utafanya nianze kujifotoa fotoa
Jiphotoe Mamie
Maisha ni hayahaya

Picha ni kumbukumbu.
Kuna siku utarejea na utafurahia kumbukumbu nzuri

Kama sisi tukirejea picha za kipindi Uzi unaanza ,2019 tunafurahi na kukumbuka stori jinsi tunavyofurahi tulikaa kwa upendo kupiga stori hapa.
 
Hiyo inachekesha ingekuwa mi wangenitoa chap ningeshindwa kuvumilia 😂😂😂
Lakini yeye na ushauri anatoa, anakwambia kwenye hiyo id walimuadd km kaka mkubwa mwenye busara zake kumbe ndiye aliyewachefua 😹😹😹😹

Wii kidali poh kalale nacho
Dunia Ina viumbe hii 😂😂😂😂
 
Mwanzo nilikuwa hodar sikuhiz nimechoka Yani 50 k naiona km laki 7 🤣🤣🤣
Angalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.
Si nimesema nalala 😂
 
Hebu usilale nitajie kampuni kwanza hata moja naweza Anza hata kimoja au viwili vkoba vipo kwaajili yetu 🤣🤣
 
Nimeitikia Kwa nguvu Asante🤣🤣
Sie had Dunia iishe tuko hoi siku moja nisindikiza mtu kariakoo nasikia anasema nataka matobo nikaduwaa 🤣🤣🤣 khe kutolewa Tait zenye tobo kwenye makalio kuuliza kazi yake et kunyanyua Tako 🤣🤣🤣

🤣🤣Nilicheka had muuza duka akaanza kucheka na yeye sikuwah kuona kile kitu laivu 🤣🤣
Kikubwa kujiamini na kujikubali..😃
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...

Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
 
Kabisa lkn pia ni kuwafurahisha watu wanaowapenda 😀😀

Ila kwenye makalio hapna km hauna hauna tu mkakawatu anajua Kuna nyama anakutana na ugoko 🤣🤣🤣
 
Kikubwa kujiamini na kujikubali..😃
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...

Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
Hiyo bana nyonyo unajiuliza huyu anapumua kweli huyu 😂😂😂🙌
 
Wengine wanaojiweza wanakimbilia Turkey....

Ila ndivyo ilivyo...

Kama wanasema mwanaume vitu anavyotafuta kwenye maisha ni sex, money and power...

Basi kwa mwanamke itakua urembo na pesa...
Kufanyiwa surgery kisa kuongeza kutengeneza shape ni kujitoa mhanga, wengine nasikia wanafariki..
 
Kikubwa kujiamini na kujikubali..😃
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...

Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN z
 
Lakini hao Gen Z mnawazidi vingi, wanawake wakifika age flani huwa wanajielewa sana na kuelewa mambo kwa upana, cha ajabu na wanaume jinsi umri unasogea anaanza kuona ngono si kitu pekee kwenye mahusiano kitakachodumisha mahusiano na maisha mazuri. Unahitaji mtu mwenye mindset sahihi...

Akili ya Gen Z na mwanamke mwenye 30 yrs or above ni tofauti...

Mna vitu vingi vya ku offer kuliko sex.. cause umekomaa kiakili kuliko mtoto mwenye 18 or 19 yrs...
Hapo match ni draw...
 
Lakini hao Gen Z mnawazidi vingi, wanawake wakifika age flani huwa wanajielewa sana na kuelewa mambo kwa upana, cha ajabu na wanaume jinsi umri unasogea anaanza kuona ngono si kitu pekee kwenye mahusiano kitakachodumisha mahusiano na maisha mazuri. Unahitaji mtu mwenye mindset sahihi...

Akili ya Gen Z na mwanamke mwenye 30 yrs or above ni tofauti...

Mna vitu vingi vya ku offer kuliko sex..
Hapo match ni draw...
Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen z
 
Back
Top Bottom