Nimeitikia Kwa nguvu Asanteπ€£π€£Kucha, mazoezi ya kutengeneza shape, wengine kubandika nyusi n.k
Kuna wanawake wameamua kunyoa nywele akiamka asubuhi anachana tu nywele...
Kumbe complications kibao.. poleni sana...
Jiphotoe MamieMi si mpenda picha hani wangu utafanya nianze kujifotoa fotoa
Mm Huwa mafuta na comment yang so Huwa zinabaki?Mtu aki quote picha kama ulifuta Fanya hivi ripoti au mfate mod pm ataifuta au kama unatumia Tapatalk unafuta mazima ni rahisi sana
Sina wakili wa kunisimamiaTolea ufafanuz usicheke walinde vijana wenzio dhidi ya mashangazi π€£π€£π€£
Dunia Ina viumbe hii ππππHiyo inachekesha ingekuwa mi wangenitoa chap ningeshindwa kuvumilia πππ
Lakini yeye na ushauri anatoa, anakwambia kwenye hiyo id walimuadd km kaka mkubwa mwenye busara zake kumbe ndiye aliyewachefua πΉπΉπΉπΉ
Wii kidali poh kalale nacho
π€£π€£π€£Sina wakili wa kunisimamia
Usije ukanifunga mkuu
Angalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.Mwanzo nilikuwa hodar sikuhiz nimechoka Yani 50 k naiona km laki 7 π€£π€£π€£
Usije ukaleta dhahamaπ€£π€£π€£
Hebu usilale nitajie kampuni kwanza hata moja naweza Anza hata kimoja au viwili vkoba vipo kwaajili yetu π€£π€£Angalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.
Si nimesema nalala π
Kwa sura gani π€£π€£π€£Usije ukaleta dhahama
Watoto wa watu wakauza nyumba zao za urithi
Unataka ukabambiwe mbantuAngalia wasikuuzie fake. Ukipata OG kabisa za Kikorea. Vyote kuanzia cleanser, toner, serum, sunscreen na night cream haipungui 500k wengine inazidi. Kuwa nao makini unaponunua.
Si nimesema nalala π
Kikubwa kujiamini na kujikubali..πNimeitikia Kwa nguvu Asanteπ€£π€£
Sie had Dunia iishe tuko hoi siku moja nisindikiza mtu kariakoo nasikia anasema nataka matobo nikaduwaa π€£π€£π€£ khe kutolewa Tait zenye tobo kwenye makalio kuuliza kazi yake et kunyanyua Tako π€£π€£π€£
π€£π€£Nilicheka had muuza duka akaanza kucheka na yeye sikuwah kuona kile kitu laivu π€£π€£
Kila siku unazidi kuwa mdogo kama bantuKwa sura gani π€£π€£π€£
Kabisa lkn pia ni kuwafurahisha watu wanaowapenda ππKikubwa kujiamini na kujikubali..π
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...
Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
Hiyo bana nyonyo unajiuliza huyu anapumua kweli huyu ππππKikubwa kujiamini na kujikubali..π
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...
Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
Wengine wanaojiweza wanakimbilia Turkey....Hiyo bana nyonyo unajiuliza huyu anapumua kweli huyu ππππ
Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN zKikubwa kujiamini na kujikubali..π
Tatizo wanawake ni kutojiamini baadhi lakini...
Mi ndipo huwa sielewi, kujichubia, kope za kubandika, kalio fake, kifuani kuna bana nyonyo siku hizi unakuwa na maziwa yamesimama, makalio nasikia kuna nguo ukivaa ina kalio la bandia...
Lakini hao Gen Z mnawazidi vingi, wanawake wakifika age flani huwa wanajielewa sana na kuelewa mambo kwa upana, cha ajabu na wanaume jinsi umri unasogea anaanza kuona ngono si kitu pekee kwenye mahusiano kitakachodumisha mahusiano na maisha mazuri. Unahitaji mtu mwenye mindset sahihi...Ha ha ha tatizo tunataka twende sawa na hawa GEN z
Wewe wasema wenzio huku mtaani wanarudishwa utotoni na kina Gen zLakini hao Gen Z mnawazidi vingi, wanawake wakifika age flani huwa wanajielewa sana na kuelewa mambo kwa upana, cha ajabu na wanaume jinsi umri unasogea anaanza kuona ngono si kitu pekee kwenye mahusiano kitakachodumisha mahusiano na maisha mazuri. Unahitaji mtu mwenye mindset sahihi...
Akili ya Gen Z na mwanamke mwenye 30 yrs or above ni tofauti...
Mna vitu vingi vya ku offer kuliko sex..
Hapo match ni draw...