Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni rahisi sana. Alishanifundisha, sema nikasahau mambo mengi tena.

1. Unatuma picha kama kawaida. Full image. Unaipost

2. Kuifuta unaenda edit, remove or delete. Halafu umasave.
Finito Madonna 😅😅😅😆
Kunakuwa na option 2 pale thumb nini na hiyo full image, mi huwa nachagua full image ndo yakanikuta yale ya jana, sasa nikiona mnairudia rudia hiyo full image napata mashaka bado
 
Back
Top Bottom