Nimeshangaa naona blank page,Yani shwaaa kama upepo
Nataka nilijue somo ili niwanyanyase napost dk 1 nafuta π€£π€£π€£Wewe Kwa jinsi ulivyo ukijiangalia mule mule tuu Kama BL
Ni hii nilikuwa namuonyesha Chino nimenyoa. Sasa hivi najua kufuta weeHongera bantu ila mi sijaelewa au ni hili joto! Nikitulia nitakuja unipe maelekezo naona ushakuwa mtaalam ila ndo watu watapitwa ππ kama hiyo mi sijaiona
Haya futa tenaNi hii nilikuwa namuonyesha Chino nimenyoa. Sasa hivi najua kufuta wee View attachment 3105437
Bado wewe tu inabidi akupe somo tuNimeshangaa naona blank page,
Duh safi sana sasa jana niliwalaza saa nane kisa kufuta pichaπ€£π€£kumbe mambo iizeeeNi hii nilikuwa namuonyesha Chino nimenyoa. Sasa hivi najua kufuta wee
Kusave inataka uwe chonjo chap chap, yani speed ya kufuta inabidi izidi ile kujaza vocha hapo mtu kusave ni ngumuWoyoooo atakayesave sijali. Miye najia kufuta tu π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Ahsante sana Kapachino unataka zawadi gani?
Atanipa huyo hana baya jana kanisaidia kubembeleza wadau mpaka saa nane,Bado wewe tu inabidi akupe somo tu
Hahahaha wadada wazuri pisi Kali corporate hamtakiwi kuna na hizi mamboNataka nilijue somo ili niwanyanyase napost dk 1 nafuta π€£π€£π€£
Oyaa mwambie arudieGeuka mbantu ili jioni iishe vizuri.
Asevu apeleke wapi naye
Ni rahisi sana. Alishanifundisha, sema nikasahau mambo mengi tena.Duh safi sana sasa jana niliwalaza saa nane kisa kufuta pichaπ€£π€£kumbe mambo iizeee
Tena wewe ndo ulifanya tulale saa naneHahahaha wadada wazuri pisi Kali corporate hamtakiwi kuna na hizi mambo
Kunakuwa na option 2 pale thumb nini na hiyo full image, mi huwa nachagua full image ndo yakanikuta yale ya jana, sasa nikiona mnairudia rudia hiyo full image napata mashaka badoNi rahisi sana. Alishanifundisha, sema nikasahau mambo mengi tena.
1. Unatuma picha kama kawaida. Full image. Unaipost
2. Kuifuta unaenda edit, remove or delete. Halafu umasave.
Finito Madonna π π π π
Nasikia umekuja dar alafu unataka kurudi dom bila kunijulisha babeBee kijana wangu....β€οΈβ€οΈβ€οΈ
π€£π€£π€£π€£Tena wewe ndo ulifanya tulale saa nane