Santo sana kwa mwongozo ngoja nifuate maelekezo yako nioneNenda Playstore download Tapatalk afu join kwa email yako unayotumia jf utatumia kama app jf ipo Tapatalk kama host na Kuna forums zingine mbalimbali za duniani
Mwe mwe mzee mkitaka niwe nawaamkia daily nipunguze na ukorofi basi wafanye hiki ulichoandika hapa,Kapeace just like you hachokeki kuangalika afu kajaliwa Babyface za kinyaru.
Muambie aache uwaga pic yake ndo tunataka iwe dp ya selfika
Itakufikia mzee wangu we tulia hapo hapoπ€©Amen. Namba ya wakala haijafanikiwa kunifikia. Barikiwa pia.
DownloadOoh nyenzo zote nazitaka
Leo asimame hahaUmeonaee huyu ndio nembo yetu ya mtoto mkali wa Selfika. Na ni kazuri uwiii ngoja atuwekee moja achangamshe Selfika kwanza. Wait Chino
Uko vizure una kasura ka kitoto hadi rahaa lipssss nyonyoooo gushepu auweeeeehhh πππππ₯ππ!Mwe mwe mzee mkitaka niwe nawaamkia daily nipunguze na ukorofi basi wafanye hiki ulichoandika hapa,
sura ya kipole ila saasa π€£π€£chokoraa
HahaMwe mwe mzee mkitaka niwe nawaamkia daily nipunguze na ukorofi basi wafanye hiki ulichoandika hapa,
sura ya kipole ila saasa π€£π€£chokoraa
Asante Mrs Smart, uzuri pm nimeifunga leo ningejuta na hizi pambeUko vizure una kasura ka kitoto hadi rahaa lipssss nyonyoooo gushepu auweeeeehhh πππππ₯ππ!
Noumaaa narobotatu hio
Kunguru muoga......Haha
Sura ya kipole sana
Tena ni keyboard warrior.
Nkamu Lamomy upo wapiSelfika ππππππ inachomaaaaa
Nimeshawamiss Saint Anne na Lamomy Nianze kucheka. Japo babe wangu ananichekesha huku.
Chino mbona hutaji zawadi eeh? Au unaona aibu hapa? π
Aibu nimuonee naniSelfika ππππππ inachomaaaaa
Nimeshawamiss Saint Anne na Lamomy Nianze kucheka. Japo babe wangu ananichekesha huku.
Chino mbona hutaji zawadi eeh? Au unaona aibu hapa? π
Mnanifurahisha na maneno yenu. Hamjui tu. Dah mkianza msiache kunitag tu. Nicheke miye maisha yenyewe mafupi haya.
Hongera sana sura inaonekana Ina furaha
Yan Hawa wamenifanya had jirani kanishangaa nilivokuwa Nacheka usiku πMnanifurahisha na maneno yenu. Hamjui tu. Dah mkianza msiache kunitag tu. Nicheke miye maiaha yenyewe mafupi haya.
Dada nzuri ndani ya mjengoπ₯π₯π₯π₯Weraaaa nipo vipenziii long tym humu..naona kumefufuka