Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
watu mpo vzr mashalah Mungu akupe nini jmn gunia la nyuki uvimbe sura?Ukiswampa tu imetoka. Kwa mara ya mwisho... cocastic
ππππNimecheka nyie hamuoni Raha jmnHiyo kampuni inajua kutongoza sina hamu nao tena ngoja niende kabla hawajaja
Mimi nakunywa supu ya kuku, mbuzi, samaki, ng'ombe mwisho hizi nyama nyengine sijui kuongoro, nyoka mimi siliNakuelewa, nilikua narejea post yako umesema huu uzi umejaa Utoto mwingi sana. Hata hivyo usikonde Mkuu, hapa ni sehem ya kutoa stress baada ya pirikapirika za siku nzima.
Tunashangwe hadi linamwagika, upendo na ucheshi mwingi sana.
Karibu tupate supu ya kongoro.
View attachment 3105719
Duh itahitaji email yakoJf natumia email ya miaka 47 huko nadhani ni email ya smartphone Yangu ya kwanza huko hata sikumbuki password yake vipi haitohitaji password yahio email ili nisijisumbue??
Ahsante my luv cocastic jamani πππππ mmmh. Leo nimemaliza deni lako si ndiyo π₯°π₯°π₯°Bantu Lady
Bongee la demuu,
Hips, guu, kiuno, tumbo flatt tummy,
Rangii ya mtumee, mashallah.
Umebarikiwaa, ringaa mwayaaaaa.
Ba tamu ako anakojoleaa pazuriii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenoga mnooo.
Uko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sorry sija quote, ili iwe rahisi kwako kufuta.
Yani ndio unatuacha hivi hivi mkuuHiyo kampuni inajua kutongoza sina hamu nao tena ngoja niende kabla hawajaja
Nimefarijikaaa mnooo kukuonaa Luv, [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Ahsante my luv cocastic jamani [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] mmmh. Leo nimemaliza deni lako si ndiyo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Subiri usikimbie usikilizi ya dunia, kwani hii jf ya mbinguni,Budluck sio muumini sana wa nyimbo za kidunia mkuu
Japo nikipataga muda Huwa nasikiliza mara mmoja mmoja
Ningekushukia mkuu kama lingekua ndani ya uwezo wangu
Bora umesema auntie ni mrembo kweliBantu Lady
Bongee la demuu,
Hips, guu, kiuno, tumbo flatt tummy,
Rangii ya mtumee, mashallah.
Umebarikiwaa, ringaa mwayaaaaa.
Ba tamu ako anakojoleaa pazuriii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenoga mnooo.
Uko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sorry sija quote, ili iwe rahisi kwako kufuta.
Leo na miguu ya biaUkiswampa tu imetoka. Kwa mara ya mwisho... cocastic
pole tajiriKapachino Kalpana Vincenzo Jr muedit picha ifutike. Nimekoma kuslfika tena πππππ picha zimegoma kufutika π₯
Mda sana mbonaKapachino Kalpana Vincenzo Jr muedit picha ifutike. Nimekoma kuslfika tena πππππ picha zimegoma kufutika π₯
Kweli?? Hahahahaπππsasa mm ndo sijui nifanyeje kipenzi..nafanyaje?Kapachino Kalpana Vincenzo Jr muedit picha ifutike. Nimekoma kuslfika tena πππππ picha zimegoma kufutika π₯
Afadhali ππ₯π₯Kapachino Kalpana Vincenzo Jr muedit picha ifutike. Nimekoma kuslfika tena πππππ picha zimegoma kufutika π₯