The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kongoro ni ng*ombe bossMimi nakunywa supu ya kuku, mbuzi, samaki, ng'ombe mwisho hizi nyama nyengine sijui kuongoro, nyoka mimi sili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongoro ni ng*ombe bossMimi nakunywa supu ya kuku, mbuzi, samaki, ng'ombe mwisho hizi nyama nyengine sijui kuongoro, nyoka mimi sili
Ulipata app ya kuangalia mpira?Usije kufa so zako bossledi wetu jamani😂😂😂😂tutatoa wapi vocha sisi
Wewe punguza tu portion ya chakula
Na futa ratiba ya breakfast
Anazingua huyo haujui utamu wa kongoroKongoro ni ng*ombe boss
Nilipata AsanteUlipata app ya kuangalia mpira?
Mashallah una ntu 😎 naitwa vin kutoka kusini mwa kigamboni Nina nyumba kubwa namiliki Subaru ukija ulizia nyumba numbero 10 hapa chekaya usiku 😂
Chuma kingine hiki hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥ya usiku 😂
🤣🤣🤣🤣Ila coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza kunae m1 nilimtukana tusi hilo la kilugha,
Namuambia, nipe kizibao cha orange, yeye analeta mgomba wa ndizi,
Liliniboa lile li mbwaa, na vile vimacho vyao, km pumbu za watoto, mxxxxiiieeew
Yanakeraa kweliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Mashallah una ntu 😎 naitwa vin kutoka kusini mwa kigamboni Nina nyumba kubwa namiliki Subaru ukija ulizia nyumba numbero 10 hapa cheka
Asante mpenzi 😘😘Chuma kingine hiki hapa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani Leo bampa to. Bampa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mzigua🔥🔥🔥🔥🔥
Ona alivyo mzuri😍
Shikamoo rafikiKongoro ni ng*ombe boss
Toka nakujua humuAsante mpenzi 😘😘
🤣🤣Kasema ukweli Yani kama balozi wa whitedent auntieAuntiee, kunae mtu week ilopita alisemaa wee unacheka hovyo kisa meno meupe, yamgekua ya Yanga bingwa, usingethubutuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivyo vitumbua vikojee, nifundisheeee.
😘😘😘😘😘Toka nakujua humu
Picha zako zote kaliii
Huna mbambamba🔥🔥🔥🔥
Naam mnaraya usiku 😂
Nyie warembo humu JF ni balaa. Umependeza na umbo Mashallah 🥰🥰🥰ya usiku 😂
Ni kweliToka nakujua humu
Picha zako zote kaliii
Huna mbambamba🔥🔥🔥🔥
🥰😊😊😊😊😊Naam mnara
Tunaomba na nyingine ya nyongeza😘😘😘😘😘
Asante maa 😊Nyie warembo humu JF ni balaa. Umependeza na umbo Mashallah 🥰🥰🥰
Ok kesho West Ham anakuja kwetu Anfield tutampiga kama ngomaNilipata Asante
Na nilijaribu zote