Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama sikosei, ukifuta post aliye quote nae akifungua haifunguki. Kwa ushauri wangu, kama unawasiwasi na picha unayoituma, ni vyema usiiweke kabisa. Na hasa hasa kama unaroho nyepesi. Hapa ndani tuna watu wa Kila aina kama ambavyo tunaishi nao mtaani, Kuna waungwana, wastaaeabu, wagomvi, wababe, wasioeleweka, wenye stress na Kila aina unayoifaham. Hatujawahi Ina mtu anakujibu jeuri au anakua mkali kama kifaru na unastaajabu kipi kimempata? Ukiwazingatia, unapunguza siku za kuishi.

Nnaongea maneno mengi kama Lamomy (ila huyu nae haishi kufurahisha, kiuhalisia anaweza kuwa sio muongeaji sana ila machachari yake Yana PhD).

Nilichotaka kusisitiza, post picha ambayo chochote kikitokea, haitakusumbua. Chochote kinachoenda mtandaoni, kinakupa nje ya udhibiti wako. Hapa unawasihi walio quote wafute, wengine tayari wamesha Danrod wanazo. Kikubwa watu wawe wastaarabu tu.
Shem nimekuita sana uone balaa la Kapeace sijui ulikuwa wapi? 😂😂😂
 
Ahsante sana kwa ushauri huu mzuri Mkuu The Monk Nitaufanyia kazi. Ni kweli ukiweka isipokaa muda mrefu inafutika. Niliweka moja nikawahi kufuta, hata walioquote ikafutika kwenye quote zao. Shida naona ikikaa dakika nyingi, itafutika kwako, kwenye quote picha inakutolea macho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Ile picha haina madhara, nimeiziba sana 😅😅😅.
Lamomy anatufurahisha humu ana pacha nkamu wake Saint Anne basi mbavu hatuna kwa maneno yao.
Uwe ma asubuhi njema. Kumekucha...
Hello tajirii 😂
Nimewamiss naomba wote mlioselfika nilipokuwa sipo mrudie
 
Back
Top Bottom