Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii picha ya mwisho ni juice ya tunda gani?

Juice napenda sana, nikiwa na muda najitengenezea nikiwa kwenye kageto kangu.

Hii ilikua maziwa, parachichi na ndizi.

Screenshot_2024-09-24-08-08-49-14_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg
 
Back
Top Bottom