Mimba kwio hebu selfika huko Kuna kitu nataka kuonaWapi hizi hizi pesa mbuzi za kuvimbia waebrania πππ
Mi nna mimba dr kanikatiza kujipiga pic, naomba uselfike nione hips mahi π
Wale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli πππSure
Kitaa uwe mnyonge mpaka jf
Haipo hio.
Although kuna watu wanazikimbia kabisa I'd, kuna mda mnapelekeana sana moto to the extent mtu anashindwa vumulia.
Natamani siku nikutane nao nahisi ntacheka sana π€£π€£π€£Jamaa sio hawa wanakunyatia mpaka dirishani wanakaa wanasikilizia kama kuna minong'o o yoyote ndani
Don't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikatakataKarangi kama ka mtu fudenge, ngozi nyororo, shingo ya pingili, hupendezi kuvaa njano na kijani angalia uzi mwekundu ulivyokutoa hapo
Km hauna wanafanyaje? ππππ π π π wanajua kudai si mchezo
Basi na mi unipe camera yako maana imekupendelea sanaDon't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikataka
Hapo nawachawia wanathiiimba leo mpigwe na wadogo zenyuuuu!
Sema nyie nduguze hamdhuriani kihivo kama Azam au 5imba ikicheza na wanaume ππππππππ€π€
π€£π€£π€£ dr kasema itatoka nikipiga pic na huyu mtoto wa mizimu hapendi micamera kabisaa.!!Mimba kwio hebu selfika huko Kuna kitu nataka kuona
Weee umezoea iphone itel batan utaziweza πππ!Basi na mi unipe camera yako maana imekupendelea sana
Sijawahi kutumia iPhone, halafu kama mkali mkali tu kuna watu wana i4n na bado hawatokelezeiWeee umezoea iphone itel batan utaziweza πππ!
Picha inajaaaaa ukungu hatariiiii! Kupiga hadi ufute Kamera!
Asije akawa inni yule wa sumbai mchuchuWale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli πππ
Kuna id ilitongozwa mara mbili hakujua huyo manzi wake ana id mbili πΉπΉ
Kule anamwambia manzi Sina pesa, halafu kwenye id nyingine anamspoil kwa miamala π€£π€£π€£
Hee!Nkamu kumbe auntie anatuendea kwa bulldozer tuangamie πππ
Auntie itakuwa kapata macho matatu kawaka sana, atupe ya chini sasa tuone mshepu.! π
Hajawahi kushindwaShangazi anapambania ubingwa wake πΉπΉπΉ
Ila shangazi kawaka uongo mbaya π
Comeback yake nimeikubali, hataki kupoteza mchezo analala nao sako kwa bako.!
Ini kasema ss hivi kaacha tabia mbaya ilikuwa maisha tu magumu hakuwa na jinsi ndiomana alifanya vile πππ
Nahisi Kuna namna wanakuweka kwenye mfumo wanakudaka tuKm hauna wanafanyaje? πππ
Mi ntawakopa halafu nahama mkoa.!
Huendi mbinguni ujue π! HahahaSijawahi kutumia iPhone, halafu kama mkali mkali tu kuna watu wana i4n na bado hawatokelezei
The Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii ππSasa Lamomy wote tumefunga milango hayo matunda yatapita wapi? Halafu sikujua kama na wakaka wanafunga pmπ π
πππππ€£π€£π€£ Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla yβa siku zako.!!
Mwambie shem akulipie bana.!
Umenikumbusha nna mamkubwa wangu anakopaga mikopo halafu mume wake ndiye mlipaji, akiulizwa pesa umepeleka wapi Hana majibu ya kueleweka.!
Kisa mzuri halafu chotara basi anampelekesha ba mkubwa had huruma. π€£π€£
Mtoto maku sana yule kidogo tu anaomba picha za dusherere.Ini kasema ss hivi kaacha tabia mbaya ilikuwa maisha tu magumu hakuwa na jinsi ndiomana alifanya vile πππ
Halafu ini yupo humu humu selfika anawachora mjue π€£π€£