Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wapi hizi hizi pesa mbuzi za kuvimbia waebrania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mi nna mimba dr kanikatiza kujipiga pic, naomba uselfike nione hips mahi 😍
Mimba kwio hebu selfika huko Kuna kitu nataka kuona
 
Sure
Kitaa uwe mnyonge mpaka jf
Haipo hio.

Although kuna watu wanazikimbia kabisa I'd, kuna mda mnapelekeana sana moto to the extent mtu anashindwa vumulia.
Wale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna id ilitongozwa mara mbili hakujua huyo manzi wake ana id mbili 😹😹

Kule anamwambia manzi Sina pesa, halafu kwenye id nyingine anamspoil kwa miamala 🀣🀣🀣
 
Karangi kama ka mtu fudenge, ngozi nyororo, shingo ya pingili, hupendezi kuvaa njano na kijani angalia uzi mwekundu ulivyokutoa hapo
Don't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikatakata

Hapo nawachawia wanathiiimba leo mpigwe na wadogo zenyuuuu!
Sema nyie ndugu hamdhuriani kihivo kama Azam au 5imba ikicheza na wanaume πŸ˜πŸ˜πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€

Kuhama Yanga bora mniuee😁😁😁
 
Don't underestimate the power of filter kipenzi! Mie Niko jeusiii hatari shingo ni Kamera tu imenikataka

Hapo nawachawia wanathiiimba leo mpigwe na wadogo zenyuuuu!
Sema nyie nduguze hamdhuriani kihivo kama Azam au 5imba ikicheza na wanaume πŸ˜πŸ˜πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ–€
Basi na mi unipe camera yako maana imekupendelea sana
 
Weee umezoea iphone itel batan utaziweza 😁😁😁!

Picha inajaaaaa ukungu hatariiiii! Kupiga hadi ufute Kamera!
Sijawahi kutumia iPhone, halafu kama mkali mkali tu kuna watu wana i4n na bado hawatokelezei
 
Wale wanaokimbia id wengi wanakutana wanafanya mchezo mbaya kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna id ilitongozwa mara mbili hakujua huyo manzi wake ana id mbili 😹😹

Kule anamwambia manzi Sina pesa, halafu kwenye id nyingine anamspoil kwa miamala 🀣🀣🀣
Asije akawa inni yule wa sumbai mchuchu

Muokoe huyu ndugu yangu anahitaji kusaidiwa
 
Nkamu kumbe auntie anatuendea kwa bulldozer tuangamie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Auntie itakuwa kapata macho matatu kawaka sana, atupe ya chini sasa tuone mshepu.! 😜
Hee!
Tuangamie tena?πŸ˜‚
Nani atamsifia sasa?

Hiyo lazima tu atatupia wee
Anaachaje kutupia wakati SI unit ya pambano ipo kwenye mshepuπŸ˜‚
 
Shangazi anapambania ubingwa wake 😹😹😹
Ila shangazi kawaka uongo mbaya πŸ˜‚
Comeback yake nimeikubali, hataki kupoteza mchezo analala nao sako kwa bako.!
Hajawahi kushindwa
Shangazi ni mmoja tu wa kimataifa

Hii ndio ile comeback ya kibabe sasa tuliyokuwa tunasubiriπŸ”₯πŸ”₯
 
Sasa Lamomy wote tumefunga milango hayo matunda yatapita wapi? Halafu sikujua kama na wakaka wanafunga pmπŸ˜…πŸ˜…
The Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii πŸ˜‚πŸ˜‚

Tajiri muaminifu bana hataki hekaheka atakufungulia ukatulie peke yako piemuni mahi.!! Wale wa kuacha pm wazi wengi fisi maji 😹😹😹 Mje mniue niko bonyokwa
 
🀣🀣🀣 Nasikia hao OYA wanadai km una mimba unajifungua kabla y’a siku zako.!!

Mwambie shem akulipie bana.!
Umenikumbusha nna mamkubwa wangu anakopaga mikopo halafu mume wake ndiye mlipaji, akiulizwa pesa umepeleka wapi Hana majibu ya kueleweka.!
Kisa mzuri halafu chotara basi anampelekesha ba mkubwa had huruma. 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ini kasema ss hivi kaacha tabia mbaya ilikuwa maisha tu magumu hakuwa na jinsi ndiomana alifanya vile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu ini yupo humu humu selfika anawachora mjue 🀣🀣
Mtoto maku sana yule kidogo tu anaomba picha za dusherere.

Vibomu sasa maninah zake sana
 
Back
Top Bottom