Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

We mzee nipe sababu moja tu iliyofanya ufunge pm The Monk

We acha tu mjukuu wangu, nipo hoves sana.

Screenshot_2024-09-26-18-51-10-99_965bbf4d18d205f782c6b8409c5773a4.jpg

IMG_20240926_185716.jpg
 
😂😂😂 kasema anazo pic zako ananitumia
Ila ini mjanja sana, kasema ni maisha tu ya kitaa magumu, halafu kuna mtu ndo alimpa mchongo kwamba JF mabwege wengi njoo upige pesa 😹😹
Picha za chino huwezi zipata sehemu yeyote ile. Ogopa matapeli

Angalia usiibiwe mchuchu.wewe ndo utakua wa kwanza kuniona

Hakuna Cha maisha magumu kwa pigo zake izo kitaa wanamtafuna.

Afu dogo mi namjua sema kila mtu na maisha aliyechagua
 
🤣🤣🤣 chino nimekuona washa data nikutumie mzigo wako 😹
 
Back
Top Bottom