Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ss hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!Sema shangazi kajua kutusurprise
Tulitegemea atajibu mapigo na ile picha ya kitenge Cha Congo
Shangazi kavuka boda na bara hadi Uturuki.
Umeona mmechisho huo wa pochi?
Shangazi anakimbiza🔥
Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹