Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamani tajiri wa roho
Tajiri mwenye vocha za jumla
Mwenye roho yake nzuri
Naomba kapicha tukuone
Hadi macho yanakuwa kama yana ukungu jamani
Picha adimu za boss ledi Bantu Lady zimeadimika

Tusafishe macho tajiri 🔥🔥
Pacha wa cheka 2. Habari za Jumapili ☺️. Leo umeniota eeeh 😅😅😅😅😅 kaone Selfika hapa mrembo Saint Anne tuone uumbaji. Nimemiss vigauni vyako wewe na Dr Lizzy
 
Coca huyooo[emoji91][emoji91][emoji91]
Safi
Kweli simu huwa zinatoa watu uweponi.


Haya Coca
Na mimi naomba ubuyu wa ini sijui figo...yaani naona tu juu juu
Eti ini ni nani?
Kweli kabisaa, nikiwa na cm siwagi na utulivu kabisaa.

Ubuyu wa Figo, wee huujui kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awekee na vochaa tajirii wetuu. [emoji482][emoji482]
Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwa💔

Tajiri BL
Sema na simu yangu ipate tabasamu🔥🔥🔥
 
Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwa[emoji174]

Tajiri BL
Sema na simu yangu upate tabasamu[emoji91][emoji91][emoji91]
Woyooooooo!!!! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapaa tupoo sisi tyuuh, awekee tujizolee.
 
Utaipata kupitia kwa cocastic usijali mrembo, hilo limekwisha 😊
Coca hatanipa aisee
Yangu naomba tu pm yangu


Tajiri katema mgodi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tajiri🔥🔥🔥
Mtu wa maana kabisa

Ona matajiri hawanaga maneno mengi 🔥🔥🔥🔥

Halafu haringi Wala nini 😍😍🔥🔥🔥
Haya sindikizia na kapicha 🔥🔥🔥
 
Coca hatanipa aisee
Yangu naomba tu pm yangu


Tajiri katema mgodi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tajiri[emoji91][emoji91][emoji91]
Mtu wa maana kabisa

Ona matajiri hawanaga maneno mengi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Halafu haringi Wala nini [emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Haya sindikizia na kapicha [emoji91][emoji91][emoji91]
Woyoooooooooooo!!
Wapiiiii tajiriiiii wetuuu, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom