[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa kwani vocha mzee wa hall V, nakuwekeaa hapa Full.Nasubiria Kwa hamu mapishi ya weekemd
Mwambie na Eng Coca aweke, tumemiss kuona vigodoro
Km [emoji158]? Sijapendaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chapati za watu wadaslam hizi, au umepika wewe laini??
Maana hizi za usiku za daslam nzuri ule zamoto zikipoa zinakuwa ngumu Kama jeanns
Mungu akubariki dadaSawa mrembo wangu Saint Anne
Tuwekee PM vocha zetu tajiriii, tunasubiriiii.Sawa mrembo wangu Saint Anne
Jidanganye πΉπ€£π€£Majini yatagonga mwamba
Yatakutana na Yesu
Halafu Babu anataka kutugombanisha ujue SI tumetoka mbali usimsikilizeπ€£
Wanajidai hawazitaki vocha kumbe wanazitakaKabisaaaa yaaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawajuaaa. Uwiiiiiih
Kwa Sisi tusiopenda nyama nyama na mafuta mafuta Yakina naniliu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wekaa kwani vocha mzee wa hall V, nakuwekeaa hapa Full.
Yaan ntakataa kiu ya watu wote leo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ndiye tajiri sasaWoyoooooooooooo!!
Wapiiiii tajiriiiii wetuuu, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Babu si ulisema mlikuwa wote rotana πNina muda mrefu sijamuona huyo Mjukuu, bora umkumbushe apite kunisalimia Babu yake π€
Waungwana waniunge kwenye convo ππππΏππΏππΏππππππ
Ila Nkamu
Wasinisahau na mimi NkamuWaungwana waniunge kwenye convo ππ
Sijui kituKweli kabisaa, nikiwa na cm siwagi na utulivu kabisaa.
Ubuyu wa Figo, wee huujui kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£Babu si ulisema mlikuwa wote rotana π
Bana mwambie anipitishie hizo cashew nuts ujue sijawahi kula za kwenye ndege πΉπΉ
Thubutuuu π€£π€£π€£Jidanganye πΉ
Babu kasema kakupa acha ubabaifu km shangazi π€£
Unauza lini huo mzigo πItabidi nikitoa mzigo shamba uje unichukulie simu nzuri nianze selfika! Hii imekufa ndiomana si selfiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.Wanajidai hawazitaki vocha kumbe wanazitaka
Tusije wasaidia kuomba halafu wenyewe tukakosa.
Tunaotaka vocha ni mimi,wewe na Lamomy.
Wengine wote waliobaki matajiri.
Umeanzaaa fix, mxxxiiiiiieeeew.Kwa Sisi tusiopenda nyama nyama na mafuta mafuta Yakina naniliu...
Nyingi wembamba viportable mnatubless saaan