sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Nisamehe we bure.Mmeanza kutusimanga 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisamehe we bure.Mmeanza kutusimanga 🤣🤣
Yani mimi niliyekuwa nakusisitiza wewe ss hivi nimekengeuka kabisaa.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nenda kwa kujilazimishaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbonaa ni ya mwakaa janaa hii, na alishtukiwa na jamaa, baada ya hiyo siku kusahau kuweka hiyo settup.Hee
Yesu wangu
Lini haya yametokea?[emoji23]
Ni id gani hiyo?
Ila watu wana hekaheka[emoji23][emoji23]
Haya mahi 😂😂Nitumiee mahiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila coca [emoji1787]
Hauna kapicha tuone?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii leo ntapasukaa mbavuu.Utaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!! [emoji1787][emoji1787]
Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukia… [emoji81][emoji81][emoji81]
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yulee aliyefunguaa uzi, c ndo alisema alikua anaweka settup, ile siku akajisahau, akashangaa jisauti ja jibaba hii hapaaa.Hakuwa anaweka settup kuna dem alikuwa anampanga anaongea nao [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri mahii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mahi [emoji23][emoji23]
Nambie koma shosti 😂😂Thubutuuuu, autoe wapii u tall? Ni kifupii, kina macho makubwaa, hata kwenye Gari hakuweza kushukaa,
Afu hapo unaambiwaa walikua wanaendaga had gym,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nyiee mie sitakiiii, nimeokokaa.
Woiiiiiiih
Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbonaa ni ya mwakaa janaa hii, na alishtukiwa na jamaa, baada ya hiyo siku kusahau kuweka hiyo settup.
Jamaniiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Limeisha ila itabidi nijifunze kupika maandazi ya mume ya saa mbili usiku 😹😹Nisamehe we bure.
😂😂😂 hii tabia naipenda yani temper ikiwa high kifuatacho kelbu..![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii leo ntapasukaa mbavuu.
🤣🤣🤣🤣 JF ina vituko sana..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa yulee aliyefunguaa uzi, c ndo alisema alikua anaweka settup, ile siku akajisahau, akashangaa jisauti ja jibaba hii hapaaa.
Jamaniii hii JF mbna ina manjegekaa hiviii? Woiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mahi soonNasubiri mahii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naaam,Limeisha ila itabidi nijifunze kupika maandazi ya mume ya saa mbili usiku 😹😹
😅😅😅we kweli uvumilivu huna, nimeandika tu mimi ndo kabisaa siwezi kujaribu kuwa na dogodogo na hizi dharau mtoto wa watu anaweza kujuta kuzaliwa, mi na wazee mpaka kifo kitutenganisheUtaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!! 🤣🤣
Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukia… 😹😹😹
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
Semaa chochotee unachotakaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nambie koma shosti [emoji23][emoji23]
Kwahiyo shem ana macho km ndubwi?! [emoji81]
Na walikuwa wanamgombania kabisaa?!!
Nyie pesa hizi zinadhalilisha wadada wafanye kazi watabeba viemoro [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh gym walikuwa wanaenda kufanya mazoezi ya nini?? [emoji23][emoji23]
Na wanaume wafupi wasivyojiamini sasa.!!
Kila demu anamtaka ili kuziba kasoro zake [emoji81]
Wanajifanyaga lover boy na wanapenda kujisifia wanamiliki migobole kumbe hamna kitu.! Hivi mi nataka kusemaje?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Polee dyadyaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hee
Lini?
Mbona hamkunishtua mwenzenu nikapitwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyiee mnanivunjaa mbavu ujue,[emoji23][emoji23][emoji23] hii tabia naipenda yani temper ikiwa high kifuatacho kelbu..!
Kuna mtu alinitibua kuna siku nikasema ww ungekuwa karibu kofi ningekuwasha ungesimulia had vitukuu vyako..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] JF ina vituko sana..
Kuna member anaitwa yellow donat unamjua??
Namtafuta ana maubuyu mengi sana