Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiriiii
Tajiri wa dunia
Tajiri wa jf
Tajiri wa selfikaa

Mrembo wa Dunia
Mrembo mwenye hela
Mrembo mwenye roho nzuri kama malaika
Siti yake mbinguni ipo

Beauty with money
The one and only Bantu Lady
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈 mrembo wangu Saint Anne umeanza 😅😅😅😅😅😅 haya Amina napokea IJN.
 
Kapeace Leo nimejitahid kuchagua km ulivonielekeza😍
IMG_20240930_223727.jpg
 
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi 😂😂😂

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwake🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 

Attachments

  • Screenshot_20241001-081746.jpg
    Screenshot_20241001-081746.jpg
    202.4 KB · Views: 4
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi [emoji23][emoji23][emoji23]

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwake[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
Hapa ningeanza kuwaza
Natoa wapi tena jero ya bando.

Ukiingia tu IG lazima bando likate.

Bantu lady ni mtu na nusu🔥🔥🔥
 
Ni mtu na Robo 3. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Janaa kaniwekeaa vochaa ya mwezii, full kudeveleka machimboziii.

Weuweee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hana maneno mengi
Maneno kidogo vocha kubwa🔥🔥🔥🔥
Hana baya tajiri
 
Back
Top Bottom