Selfika na JF: Snap it. Show it

Huo ni ulafi achieni nafasi kila mtu achovye asali hiyo,

Huku kwetu weekend imeanza,
Alhamic weekend unaanza znz....

Huku sitimbi vijjn ndio Kwanza mbalamwezi IPO tunapalilia mihogo na mahindi
 
Kanuni ya Kwanza, mshawishi afunge piem

Namba mbili asiingie chitchat ahamie kule kwenye jukwaa la vita vya middle east

Then after unamtoa jeif....
Penzi likiisha narudi kwa kishindo cha wakomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alhamic weekend unaanza znz....

Huku sitimbi vijjn ndio Kwanza mbalamwezi IPO tunapalilia mihogo na mahindi
Nimeshangaa watu wameona ijumaa haitoshi wameisogeza na alhamisi iwe weekend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…