Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🙌🙌🙌
Mkifunga piem mtapataje ela??
Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe😎

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili😏😏😏
 
Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe😎

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili😏😏😏
🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Wanaume wanaofunga piem wanaogopa kusumbuliwa na wanaume wenzao. Hahah inshort sio wenzetu

Hivi wapo kweli??
 
Back
Top Bottom