Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hapana babe. Huyo mrembo pande za Kagame, nimempenda tu alivyo. Mzuri kwa kila kitu. Mungu aliumba, mama yake akamzaa. πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mnafanana baadhi ya maeneoπŸ˜„
Halafu babe nilipita sehemu kwenye uzi wa vita kumbe mpka kule uko smart na updated.❀️
 
Mnafanana baadhi ya maeneoπŸ˜„
Halafu babe nilipita sehemu kwenye uzi wa vita kumbe mpka kule uko smart na updated.❀️
Babe wangu, habari za dunia kiujumla namimi ni marafiki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kabla sijaanza kazi, nazipitia napenda kuzijua. Huwa tu sipendi kucomment lile jukwaa wana ushindani wa kidini na si kimataifa zaidi. Ila likinifika hapa nachangia. Unafika kwingi babe wangu πŸ₯°
 
Uko vizuri Hongera sana.
Hahaa kule kuna vita mara mbili. Hiyo yenyewe na vita ya team za JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…