Thubutu, sio Kwa Simba hii πͺUtapigwa 7 π π π
Nimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,Hahahaha..............huyo Babu yenu, alikuwa hatari π
Mimi niko na 78 lakini nguvu za kupiga hata kimoja Sina π
Kule hata ukitema facts unapopolewa! Bora uje kwa kina chino ucheke na kuongeza siku.Babe wangu, habari za dunia kiujumla namimi ni marafiki π π π kabla sijaanza kazi, nazipitia napenda kuzijua. Huwa tu sipendi kucomment lile jukwaa wana ushindani wa kidini na si kimataifa zaidi. Ila likinifika hapa nachangia. Unafika kwingi babe wangu π₯°
Uzeee ni daawaNimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,
Siku tuko club na wadogo zangu nikakutana na kijana wa zamani tukapiga story mnooo akatupiga offer nzito nzito akawaambia ndg yenu ana akili kuwazidi wote basi tangu hapo naitwa mama wa wastaafuπ€£π€£
Hahaha........kweli unanyota na wastaafuNimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,
Siku tuko club na wadogo zangu nikakutana na kijana wa zamani tukapiga story mnooo akatupiga offer nzito nzito akawaambia ndg yenu ana akili kuwazidi wote basi tangu hapo naitwa mama wa wastaafuπ€£π€£
Kabisa nimekubali mi na wazee mpaka kifo kitutenganisheUzeee ni daawa
Wavaa kobazi Vs wazayuniKule hata ukitema facts unapopolewa! Bora uje kwa kina chino ucheke na kuongeza siku.
Tayana-wog hana neno kabisaYaaan hapo nipo na kipa tuuu
Ukiwatunza vzr pension halali yako kabisaaKabisa nimekubali mi na wazee mpaka kifo kitutenganishe
Mimi nimestaafu mkuuu. Nguvu sina kabisa. Labda Kaka yetu Grahams achangamkeTayana-wog hana neno kabisa
Hapana umenikumbusha mapito mengi,, hilo tukio la club ndipo nilijua nilivyo na bahati naoHahaha........kweli unanyota na wastaafu
Lakini sio unawapenda kwakuwa hawajui kukamia pambano kweli π
Haya nidipu basi Mjukuu, hapa nilipo naona mtandao unashika π€Έπ€Έ
Huyu naona pensheni nitailaπ€£π€£π€£Ukiwatunza vzr pension halali yako kabisaa
Miaka mitatu si wanasema bado bado kichwa kisikomae au ni Imani tuu huku mtaani kjjnHongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 π€
Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu ππ
π€£π€£DuhKwako mzee wa hall v sumbai
Nashukuru Mungu kwema kabisaaNipo odo
Mambo yako?
Akili za kapeace π€£ π€£ π€£Kwa aina ya kucha zako eeeh wewe ni....... mkono una misuli kabisa, hata 50 huna km umeenda sana ni 45 au 47 hapo sio mbaya unanifaa kwa matumizi ya kibinaadamu, black man
πππHuyu naona pensheni nitailaπ€£π€£π€£