Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha..............huyo Babu yenu, alikuwa hatari 🙌

Mimi niko na 78 lakini nguvu za kupiga hata kimoja Sina 😜
Nimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,

Siku tuko club na wadogo zangu nikakutana na kijana wa zamani tukapiga story mnooo akatupiga offer nzito nzito akawaambia ndg yenu ana akili kuwazidi wote basi tangu hapo naitwa mama wa wastaafu🤣🤣
 
Babe wangu, habari za dunia kiujumla namimi ni marafiki 😅😅😅 kabla sijaanza kazi, nazipitia napenda kuzijua. Huwa tu sipendi kucomment lile jukwaa wana ushindani wa kidini na si kimataifa zaidi. Ila likinifika hapa nachangia. Unafika kwingi babe wangu 🥰
Kule hata ukitema facts unapopolewa! Bora uje kwa kina chino ucheke na kuongeza siku.
 
Nimebahatika kuwa karibu na wazee tabia zenu wanaume wengi zinafanana kwa karibu, hasa kupenda downtown, bamkwe naelewana nae ananikubali kinoma mpaka mwanae analeta viwivu, marehemu babu huyo tulikuwa marafiki mno hadi wajukuu wengine walikuwa wanaona wivu, na hii inaenda hadi kitaa nikiingia sehemu nikakuta aged men automatically tu nakuwa karibu nao kupiga stories, acha niwapende 'wazee' tu naona ndo nyota yangu ilipo,

Siku tuko club na wadogo zangu nikakutana na kijana wa zamani tukapiga story mnooo akatupiga offer nzito nzito akawaambia ndg yenu ana akili kuwazidi wote basi tangu hapo naitwa mama wa wastaafu🤣🤣
Uzeee ni daawa
 
Hahaha........kweli unanyota na wastaafu

Lakini sio unawapenda kwakuwa hawajui kukamia pambano kweli 😜

Haya nidipu basi Mjukuu, hapa nilipo naona mtandao unashika 🤸🤸
 
Hapana umenikumbusha mapito mengi,, hilo tukio la club ndipo nilijua nilivyo na bahati nao

Kutokamia show nayo ni moja ya faida yenu wazee🤣🤣🤣 mapenzi starehe sio mapambano
 
Hongera kuwa na babygirl, nami nikija kupata mtoto wa kike wa Uzeeni na Bibi yenu nitahakikisha anaanza kusuka akiwa na miaka 3 🤗

Wakati huo huo, nitahakikisha nafuga Mbwa wa Kali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi Kwa binti yangu 👊🙌
Miaka mitatu si wanasema bado bado kichwa kisikomae au ni Imani tuu huku mtaani kjjn
 
Back
Top Bottom