πππππππ₯°π₯°β€οΈAwwwwwwwww!!ππππ
Sis kila siku unazidi kuwakaaaa tuπ₯π₯π₯π₯π₯!
Uko na fashioooooo za kileooo zinakutoa vizuri na mwili wakoo ni π₯π₯π₯π₯π₯π₯!
Pendeza sana sis
Aliekula vya wenzie na vyake vitaliwa tu ππππNimewahi kusikia hivyo pia.
Bado sijafanikiwa kupata mtoto wa kike kwenye Uzao wangu, ila Siku nitakayompata nahisi ndiyo Siku nitakayoagiza wale Mbwa wakali wa Kizungu pamoja na ku-renew kibali cha kumiliki manati ya Mzungu
Mimi nataka ila naipataje! Boss ladyIt's weekend π Chocolate cake π Anyone ππ«View attachment 3116187
Uje home π π π π kumbe nawewe unazipenda, sasa hizi zimepikiwa na real chocolate. Tamu balaaπMimi nataka ila naipataje! Boss lady
Nataseka nina hamu na keki wiki ya 2 sasa, na sijaipata ile nayoitaka za viwandani zimejazwa baking soda nikila nabeua siku nzimaUje home π π π π kumbe nawewe unazipenda, sasa hizi zimepikiwa na real chocolate. Tamu balaaπ
Pole naelewa, hata wanaotengeneza wengi wanatumia cocoa. Kupata kama hii yenye chocolate tupu, wachache sana. Mimi chocolate cake ninapenda but sili kila sehemu.Nataseka nina hamu na keki wiki ya 2 sasa, na sijaipata ile nayoitaka za viwandani zimejazwa baking soda nikila nabeua siku nzima
Yani hapa mate yamenijaa kinomaPole naelewa, hata wanaotengeneza wengi wanatumia cocoa. Kupata kama hii yenye chocolate tupu, wachache sana. Mimi chocolate cake ninapenda but sili kila sehemu.
Tajiriπ₯π₯π₯π₯π₯It's weekend π Chocolate cake π Anyone ππ«View attachment 3116187
Shida ni wateja wengi hawafikii bei ya pure chocolate...Pole naelewa, hata wanaotengeneza wengi wanatumia cocoa. Kupata kama hii yenye chocolate tupu, wachache sana. Mimi chocolate cake ninapenda but sili kila sehemu.
Kazuri mashaAllahHivi vi generation alpha matata sana! Eti haka nako kameniambia kanataka kwenda kutengeneza kucha π€£.
Hakuna jinsi zaidi ya kukapeleka tu π .
View attachment 3115655
π₯Ήπ₯Ήπ₯Ήπ₯Ήwhy lakiniIt's weekend π Chocolate cake π Anyone ππ«View attachment 3116187
nikupe na location yanguπTajiriπ₯π₯π₯π₯π₯
Kumbe unapenda hizi vitu?
Will surprise you one day
Nipe Dadanikupe na location yanguπ
yaan mimi lile rojo aaahππππΏnafwaaNipe Dada
Nitawasurprise siku moja
Wewe inatakiwa ujaziwe rojo keki iwe inaeleayaan mimi lile rojo aaahππππΏnafwaa
ewaaaa nakulaga kwa huyu ila badoooWewe inatakiwa ujaziwe rojo keki iwe inaelea
Kakupunja rojoewaaaa nakulaga kwa huyu ila badoooView attachment 3116217
sanaKakupunja rojo