Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo ni hapo Melela Mkoa wa Morogoro, Kuna sehemu wanauza nyama ya Mbuzi ..

Ukiwa hauna haraka, utakula nyama ya Mbuzi hadi uchoke kutafuna

Shilingi 25k unakula mguu wote wa nyuma 🤗
mpaka magoti yafe kwa gout ndo mtaelewa nyie wazee
 
Hiyo ni hapo Melela Mkoa wa Morogoro, Kuna sehemu wanauza nyama ya Mbuzi ..

Ukiwa hauna haraka, utakula nyama ya Mbuzi hadi uchoke kutafuna

Shilingi 25k unakula mguu wote wa nyuma 🤗
Wamasai hapo melela hawana bei kabisa, hata maziwa lita 1 wanauza sh.200
 
Nkamu Saint Anne hivi kuna gari ya kutoka Mbeya kwenda Mwanza ambayo ina usalama kutuma mzigo??

Kuna mizigo inatakiwa nitume sasa nataka uhakika isije kupotea, hebu njoo unisaidie aisee.!!
 
Nkamu Saint Anne hivi kuna gari ya kutoka Mbeya kwenda Mwanza ambayo ina usalama kutuma mzigo??

Kuna mizigo inatakiwa nitume sasa nataka uhakika isije kupotea, hebu njoo unisaidie aisee.!!
Sina umelewa sana na hizi routes
Ila gari zipo
Hizo premier sijui katarama
 
Sina umelewa sana na hizi routes
Ila gari zipo
Hizo premier sijui katarama
Hiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo border Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!
Dah.! Sijui ntafanyaje hao katarama na premier nilitaka uzoefu wao, mana kampuni zingine zinapoteza mizigo ya watu.
 
Back
Top Bottom