Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Poa poa 🤝Haina noma, uje aisee utuunge mkono😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa 🤝Haina noma, uje aisee utuunge mkono😂
Anajua ndo maana anatupia hizo picha makusudi atuweke roho juu sisi mafisiUna kifua kizuri😍😍😍
duh, wapi huku?View attachment 3117849
Jamaa walivyo wabunifu wanakupa na kisu ukate ya kuonja 😋
Wale matomaso kama nilivyo Mimi, ili kula ni lazima tuhakikishe Mkia ni wa Mbuzi kweli 😜
Hiyo ni hapo Melela Mkoa wa Morogoro, Kuna sehemu wanauza nyama ya Mbuzi ..duh, wapi huku?
mpaka magoti yafe kwa gout ndo mtaelewa nyie wazeeHiyo ni hapo Melela Mkoa wa Morogoro, Kuna sehemu wanauza nyama ya Mbuzi ..
Ukiwa hauna haraka, utakula nyama ya Mbuzi hadi uchoke kutafuna
Shilingi 25k unakula mguu wote wa nyuma 🤗
Hapa yenyewe natembelea mkongojo, hata nikipewa milioni 1 niambiwe kimbia mita 10 tu siwezi Kwa Uzee na magoti 😜🙌mpaka magoti yafe kwa gout ndo mtaelewa nyie wazee
Wamasai hapo melela hawana bei kabisa, hata maziwa lita 1 wanauza sh.200Hiyo ni hapo Melela Mkoa wa Morogoro, Kuna sehemu wanauza nyama ya Mbuzi ..
Ukiwa hauna haraka, utakula nyama ya Mbuzi hadi uchoke kutafuna
Shilingi 25k unakula mguu wote wa nyuma 🤗
Ngoja tujaribu bahati yetu....na mie nilivyokuwa na ugonjwa wa matiti.... Midekoo mwenyewe anajuaAnajua ndo maana anatupia hizo picha makusudi atuweke roho juu sisi mafisi
Alinunua yeye 🤣🤣Iphone ya Lamomy si ipo?
Selfika na hiyohiyo.
Unapoteaga weekend na kuibuka j3 wewe mtoto weweAu yeyote mwingine anayejua anisaidie ni kampuni ya bus gani nzuri kwenye kutuma parcel kutoka Mbeya- Mwanza
Una shingo nzuri dada, halafu umeongeza kilo au ni picha?Calling it a day !
Mkuwe na Jioni njema wapendwa
Ni waoow basi mahi 😍😍Unapoteaga weekend na kuibuka j3 wewe mtoto wewe
Sina umelewa sana na hizi routesNkamu Saint Anne hivi kuna gari ya kutoka Mbeya kwenda Mwanza ambayo ina usalama kutuma mzigo??
Kuna mizigo inatakiwa nitume sasa nataka uhakika isije kupotea, hebu njoo unisaidie aisee.!!
Hiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo border Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!Sina umelewa sana na hizi routes
Ila gari zipo
Hizo premier sijui katarama