Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo boarder Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!
Dah.! Sijui ntafanyaje hao katarama na premier nilitaka uzoefu wao, mana kampuni zingine zinapoteza mizigo ya watu.
Wacheki pia Isamilo bus

Au kama una haraka, pakia kwenye ndege kesho saa 6 Mchana utakuwa umefika, iwapo wakapakia kesho na ndege ya asubuhi kabla ya ku-connect na ndege ya DSM - Mwanza
 
Kapeace siongei maneno mengi nadhani umejionea babu alivyonyooka 😹😹😹

Babu G hili goma lako nakwambia makesure umenitumia pesa ya kumsindikiza mrembo akatengeneze kucha kwa mtoto Iddy 😹
Bora uendelee kufungiwa niitie mwebrania
 
Wacheki pia Isamilo bus

Au kama una haraka, pakia kwenye ndege kesho saa 6 Mchana utakuwa umefika, iwapo wakapakia kesho na ndege ya asubuhi kabla ya ku-connect na ndege ya DSM - Mwanza
Babu kwenye ndege gharama kubwa 😹😹
Au nichangie basi babu 😜

Ngoja niwacheck hao Isamilo
 
Hahaha......ngoja nifanye hivyo
Babu huyu lazima umpate kwanza pisi ya moto hii kuikosa ni sawa km hujaizunguka dunia 😹😹😹

Huyu mtoto wa moto babu.!! Kaizidi ile mibibi yoteee 🤣🤣🤣
Huyu mtoto kasimama, unakijua kisu? Sasa hii sparkle achana na ile mijokeri imezeeka 😹😹😹🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Wee huogopi? Mjukuu tu naulizwa nichangiwe ngapi? Itakuwaje kwa bibi mwenyewe 😹😹

Mahi hebu mpelekee babu ugolo avute kwenye kiko yake 😂😂
Hii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana 🙌🙌
 
Hii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana 🙌🙌
😂😂😂 Mpelekee babu ugolo, ila mahi twende mbele tusirudi nyuma UMESIMAMA
Yani roho itaniuma babu akikosa kutalii hizo hips 😹
Babu yangu napenda azeeke vizuri bila stress na pension zake..!
 
Back
Top Bottom