ππππunaleta uchonganishi nashukuru kamlango nimekafunga usiwatie jakamoyo wazee na ma aunt wa watuKapeace tunaomba uselfike mahi mtoto mwenye figure yake mjini selfika..! πΉπΉ
Nkamu huyu mtoto mkali sana anachukua namba 1 mpk 3 zilizobaki ndo shangazi na wengine wagombaniane ππ€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈ
Mtoto mkareee wewe kapeace huna mpinzani kabisaa.!! πΉNimecheka jf watuwekee voice chat aaaaiiii, asante kwa kunifurahisha na kunipamba namna hii!! π€£π€£π€£π€£
Sijambo, habari yako Sumbai?Hujambo L
Kwahiyo kusema ukweli uchonganishi? π€£π€£π€£ππππunaleta uchonganishi nashukuru kamlango nimekafunga usiwatie jakamoyo wazee na ma aunt wa watu
Babu nae kafunga pmππ!!!Mtoto mkareee wewe kapeace huna mpinzani kabisaa.!! πΉ
Mwili umebalance huna kitambi, halafu lips π sasa awwwweh babu ataacha kuvuta kiko mbona πππ
Babu ni wa wote kila mtu ale kwa urefu wa kamba yakeKwahiyo kusema ukweli uchonganishi? π€£π€£π€£
Bana weeh mwenye hatimiliki ya babu ajitokeze hapa.! Kwani ma auntie nao wapo kwenye ligi ya babu?!! π
Em wajitokeze waseme wanacheza namba ngapi? πππ
Yaani sijui kwanini Nkamu ananidanganyaUnataka kumuongopea tu saint Anne π
AfadhaliPoa Nkamu nishafanikiwa mzigo upo njiani
Itel yenye ukungu?π€£π€£π€£ SITAKIIII
Akaazime ya shangazi πΉ
Woyooooooooooooooooo.!!!Babu ni wa wote kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Ile combo sijui shangazi aliitolea wapi aiseeKemia ili ujue kubalance matoke na dagaa πΉπΉπΉπββοΈπββοΈπββοΈ
Babu lazima apatiwe joto joto ili aishi maisha marefu zaidi,Woyooooooooooooooooo.!!!
Hayo ndo maneno sasa mahi πΉπΉπΉ
Babu ni wa wote mwenye cheti cha ndoa bibi peke yake, hao masuria ni mwendo wa mkanyagano..!
Asiyeweza ligi za babu awapishe akacheze ndondo cup wakagombee kombe la mbuzi.! π€£π€£π€£
Ila babu yangu G mitano tenah πΉπΉ
Babu mibibi unayo na unatamba nayo, uhangaike kutafuta pesa ujanani na uzeeni ushindwe kula pension yako na warembo awweh sio kweli.!! π€£π€£π€£
Ningeshangaa π€£π€£π€£Hajafunga namsingizia ili anichape na mkongojo wake
π€£π€£π€£ Mi sina mambo anakuchuuza huyo.!Yaani sijui kwanini Nkamu ananidanganya
Ss hivi ana tekno πΉπΉItel yenye ukungu?
Ndiomana kitambi hakiishi we maharage, dagaa na matoke unafanya mchezo?!! πΉπΉπΉIle combo sijui shangazi aliitolea wapi aisee
Eqqn yake haibalance kabisa
Shangazi anatengeneza mabomu mazito ya Nyuklia
Shangazi anazidi kutupwa mbaliKapeace tunaomba uselfike mahi mtoto mwenye figure yake mjini selfika..! πΉπΉ
Nkamu huyu mtoto mkali sana anachukua namba 1 mpk 3 zilizobaki ndo shangazi na wengine wagombaniane ππ€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈ