Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kina babu mnapeana pasi 😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina babu mnapeana pasi 😹😹
Sisi walokole VIP kabisaHalafu ss hivi si tunachangamsha kijiwe, tumeokoka nkamu gwangu si eti? 😹😹😹
Na tunapambana kumrudisha shangazi sokoni 🤣😹
Hawezi kulitoa hapaToa jibu 😹
Wifi kumbe uliselfika naomba irudiwe nikuone wii wangu mnjuri njuri 😍😍uzinzi tu, mtseeeuuuw'...!!
Amchane tena?Kumbe unajua, sasa unachoshindwa kumchana shangazi nini?? 😹😹
Weeh mzee mke wa mtu huyo na mahari tushapokea, na mumewe yupo humu shauri zako..! 😹😹😹
Acha mambo ya magari, selfika mwenyewe tukuone 😹😹F Challenge
View attachment 3121543
Apunguze kula mtori wa small fish na maharage 😹😹😹Ubaya ni kwamba hakimezeki
Akimezea juu,kinatokea chini kama kitambi mpakato.
Anza na msebule kwanza 😹natafuta mchumba!.😎
Si Shem anampa au atam cc 🤭😹Tarehe hizi shangazi anatoa wapi Hela?
Au za uandikishaji daftari la wapiga kura.
uko wapi..?Anza na msebule kwanza 😹
KumCC tuSi Shem anampa au atam cc 🤭😹
Shangazi astaafu kwa heshima kashakuwa legendary.. na kiwango kimeshuka kazeeka hauziki 😹😹😹Anashuhudia namna mnywani wake anatupwa nje ya top3
Juzi alitupia amekaa kikoti kizuri kama mama kitulanoApunguze kula mtori wa small fish na maharage 😹😹😹
Kabisaa nkamu mbinguni tuna viti vyetu special 😹😹😹Sisi walokole VIP kabisa
Pamoja na Auntie kukodi ID kutuchafua ila bado tupo kumrudisha kwenye ramani...
Huu ni Upendo wa hali ya juu sana.
Chino mnafki km wanafiki wengine 🤣🤣🤣Hawezi kulitoa hapa
Ila analijua
Hiyo ni kwa mujibu wa comment za Coca..Shemejiiiiiiiii seleeeeeeeeeee 🗣️🗣️🗣️
🤣🤣🤣🤣 Na anamuaminia kweli wanamanAmchane tena?
Ndio chawa pekee aliyebakia upande wa shangazi
Shangazi si atakosa mpambe jamani!
Bado anapambana arudi kwenye chatiShangazi astaafu kwa heshima kashakuwa legendary.. na kiwango kimeshuka kazeeka hauziki 😹😹😹
Oysterbay karakana 😎uko wapi..?