Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thanks.

Picha unaselfika lini?? Nimemmiss kukuona
Mbonaa nilikuambiaa, wee ukiwekaa pichaa yako hapaa.
Mie nawekaa full nzima, natoa sintofahamu iliyokooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi niliweka Jana hapa.

Sijui ulikuwa online?
 
B money huwa mnafanyaje fanyaje mshale unakaa kwenye F?😂😂
Ikija challenge ya E ntakuwa sina mpinzani, hali yangu ni mbaya mnoo😂
IMG_20241014_121717_734.jpg
 
B money huwa mnafanyaje fanyaje mshale unakaa kwenye F?😂😂
Ikija challenge ya E ntakuwa sina mpinzani, hali yangu ni mbaya mnoo😂
View attachment 3124638
Shemeji umetembelea, ukahakikisha inaenda kusoma E. Ndiyo ukapiga picha. Haikubaliki hii challenge ya kucheat😅😅😅😅

Katika vitu napenda, gari liwe safi na mafuta yawe F tank. Ikisogea tu kidogo niko PUMA. Countrywide
 
Hayo ndio maisha ya kila siku😂
Hiyo F haiwezekani kwangu aisee, ilishashindikana

Wewe boss mkubwa lazima wese liwepo Full muda wote😂
 
Hamna ni kama ugonjwa kwangu, ikipungua hiko kimstari kinachofata, najikuta nimeenda. Na naweka kituo kimoja tu kwa miaka yote. Kwasababu linajaa kwa laki 2 na 10. So kila wiki najazia kwa laki kwa hii. Usisubiri ishuke sana shemeji.
 
Hongera sana B money😂
Nisisubiri ishuke?😂😂
Hali yangu ngumu mnoo, angalia boot ni mwendo wa vidumu tu😂😂😂😂😂😂😂
IMG_20241014_125509_314.jpg
 
Back
Top Bottom