Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera sana B moneyπŸ˜‚
Nisisubiri ishuke?πŸ˜‚πŸ˜‚
Hali yangu ngumu mnoo, angalia boot ni mwendo wa vidumu tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 3124709
Shem umenishinda tabia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 huwa wanakubali kweli madumu? Hayo madumu yatakuwa yana kazi nyingine. Huwezi kusubiria yaishe kabisa, ndiyo uweke. Ni yaleyale lazima uweke.

Nikiangalia ile foleni ya Gas, nakata tamaa kuyabadilisha mfumo uwe wa kutumia Gas, ilipaswa kila kituo cha mafuta, kishinikizwe kiweke na Gas.
 
Utasikia wanasema Mbeya hakuna gorofa na mataa
Huko mbeya kuna chimbo linaitwa Mbeya pazuri, baada ya kuuliza ulizia Mbeya chimbo la maana ni lipi, nikaambiwa ni hapo.

Pisi za Mbeya wachache saana vimbau mbau... Mostly walikuwa six cylinder πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Hapo city center ikifika SAA tatu yaan hamna watu kabisaa.

Kibaridi cha Mbeya kingekuwepo daslam yaaan...
 
Hilo chimbo pazuri sana Kuna kitimoto kama chotee hapo 😎
 
Usijali babe, hili limeisha πŸ₯° Long weekend utakuwa umeitendea haki. Mimi Jumamosi, nilienda live band. Kupumzisha akili, jana na leo ubusy kiasi. Angalau leo kidogo napumzika.
music wa liveband mtamu sana😍
Huwa unatoka mbele kutuza mahelaπŸ˜„?
Mimi week end hii nilikuwa na mualiko wa harusi, jana nilienda church tu chap nikarudi nipo jf muda woteπŸ˜‚

Leo asubuhi nilipata wasaa wa kutembelea Kigamboni kibada kule karibu na crdb bank baadae nikaenda mwongozo ndio nimegeuka hivo. Unapajua huko my love?
 
Shem umenishinda tabia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 huwa wanakubali kweli madumu? Hayo madumu yatakuwa yana kazi nyingine. Huwezi kusubiria yaishe kabisa, ndiyo uweke. Ni yaleyale lazima uweke.

Nikiangalia ile foleni ya Gas, nakata tamaa kuyabadilisha mfumo uwe wa kutumia Gas, ilipaswa kila kituo cha mafuta, kishinikizwe kiweke na Gas.
Wanakubali Ila sio petrol station zoteπŸ˜‚

Vyuma vimekaza, itabidi nikutafute aisee nipake vyuma grisiπŸ˜‚
 
Mobile Aesthetic Wallpapers HD - Black, pink, purp.jpeg
 
music wa liveband mtamu sana😍
Huwa unatoka mbele kutuza mahelaπŸ˜„?
Mimi week end hii nilikuwa na mualiko wa harusi, jana nilienda church tu chap nikarudi nipo jf muda woteπŸ˜‚

Leo asubuhi nilipata wasaa wa kutembelea Kigamboni kibada kule karibu na crdb bank baadae nikaenda mwongozo ndio nimegeuka hivo. Unapajua huko my love?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… niliwatunza wote, waliimba wimbo naupenda kwa hisia sana. Why watu hawawatunzi Nowadays? Maana wanakauka makoo masikini. Baada ya pale walichangamka sana tukaenjoy zaidi.

Yeah babe napajua huko kote, nina site Kisota pale. Kigamboni ni kama nyumbani tu. Umeona beach zilivyo nyingi na nzuri? Jua kama hili, unawahi saa 4 weekend, unalala kwenye vile vitanda, upepo wa bahari unakupiga, kaglass ka wine, wisk pembeni, utake nini tena?
 
Haha sikuhizi hela ngumu watu hawatunzi kama zamani.Uliwa furahisha hapo kama wanakujua jina ni kutaja kila dakika.

Kisota ni premium area now days kwa Kigamboni hongera sana.
Kuna kipindi tulienda na jamaa zangu beach asubuhi tukawaomba tununue mbuzi mzima watuchomee tulishinda hadi usiku kule tuli enjoy.

Huo wimbo i wish niusikie nitumie PM kama hutojali pengine ukawa ni favorite kwangu piaπŸ˜„
 
Nimecheka hapo ulipomalizia πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‰πŸ˜‰ funguo zilipotea. Yes Kisota kuko πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ ahsante, nilipewa na my Dad.
Hiyo siku mlienjoy sana, ya kuchomewa mbuzi mzima. Maisha ndiyo hayahaya, kazi na huku unatenga muda wa kurelax.
 
umestukia mtego sio?πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuendelee kufurahia week end ndefu.
 
Back
Top Bottom