Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy si utuwekee self hapa tuone ubishi uishe?

Tuendelee kuselfika wakuu kama kawaida.๐Ÿ˜Š
Kwanza kabisa kwenye watu wengi lazima watu wawe tofauti, hii ni nature. Japo inawezekana kutokua hivyo kila mara ni uamuzi

Pili kuhusu mtu kupigwa majungu mi nadhani hizi ni hisia ambazo mtu anaamua kuwa nazo. Unaweza kuassume sio wewe na mambo yakaenda tu, sababu pengine hao wanapiga story zao ambazo hazimhusu yoyote humu. Walisema "shangazi" hivi au vile how sure wanakua wanamaanisha yule unamfikiria?

Kuhusu kuselfika, labda umeingia hivi karibuni. Humu wengi zamani akiwemo huyo lamomy walishaselfika sana sana japo haizuii kuendelea kuselfika au kuweka picha zozote.

Btw ushauri wako mzuri pia
 
Tatizo yeye anataka kumuona Lamomy sijui anataka agundue nini? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Atafute comments zangu mbona pics zipo nyingi sijafuta
 
Kwani mimi nabishana na Nani?
Na pic yangu wewe itakusaidia nini kwenye maisha yako ya kawaida achilia hapa JF??

Ukiselfika wewe inatosha, punguza shobo.
Tatizo kubwa kwenye hii post watu wana makasiriko ya bure tu. Wala hakuna ulazima wa mtu kuselfika, mtu anaweza kuamua kuwa muangaliaji au kuwa mchangiaji kwa wale walioselfika

Pia story mbili tatu kuwepo sio mbaya, zitakua zinawekwa picha tu bila hata story kidogo? Watu waache makasiriko
 
Nimewaambia hii ni km timu ya mpira sio wote wachezaji, wengine sisi ni washangiliaji..!!

Wao watupie tuwasifie simple tyuu.!!
Hata kwenye makumbusho kuna picha na story zao hao wenye picha..!
 
Haiwezi kunisaidia chochote,Ni accusation zimeeleza huweki picha ni maneno matupu.
Nikushobokee ili iweje?
Ndio utulie sasa, ukiona vipi selfika wewe simple tu wala hutumii nguvu.
Hii ya kujifanya unataka niselfike sio kazi yako kuniambia
 
ni sahihi mkuu. Mimi huu uzi sijaanza kuufatilia muda mrefu pengine ziliwekwa huko zamani, Hakuna ulazima hata hivo.
 
Ndio utulie sasa, ukiona vipi selfika wewe simple tu wala hutumii nguvu.
Hii ya kujifanya unataka niselfike sio kazi yako kuniambia
Unajua watu wanaumia bure na vitu ambvyo hata mtu haviishi in real life. Wangekua wanaingia huku just for burudani wala haya yote wasingeumia nayo
 
Ss hivi watu sukari zitapanda hapa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wewe bana mi Sina wa kumfatilia Ila nikiona chakula kipya nitaomba recipe, nikiona picha lazima nitoe maoni ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wewe bana mi Sina wa kumfatilia Ila nikiona chakula kipya nitaomba recipe, nikiona picha lazima nitoe maoni ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kuna vitu aisee, kwa hiyo watu wakiweka picha hata maoni hutakiwi kutoa? Hata North Korea hawaishi hivi

Wewe kuwa huru kutoa maoni na kuandika kile ambacho unapenda as long as hutumii lugha ya matusi wala lugha mbaya
 
Kuna vitu aisee, kwa hiyo watu wakiweka picha hata maoni hutakiwi kutoa? Hata North Korea hawaishi hivi

Wewe kuwa huru kutoa maoni na kuandika kile ambacho unapenda as long as hutumii lugha ya matusi wala lugha mbaya
Eti jamani ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa watajuaje km wamedamshi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Em watuache wachangiaji tusifie uumbaji wa Mungu bana weeh.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ