Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mimi nabishana na Nani?
Kwanza kabisa kwenye watu wengi lazima watu wawe tofauti, hii ni nature. Japo inawezekana kutokua hivyo kila mara ni uamuzi
Tatizo yeye anataka kumuona Lamomy sijui anataka agundue nini? 😹😹😹Kwanza kabisa kwenye watu wengi lazima watu wawe tofauti, hii ni nature. Japo inawezekana kutokua hivyo kila mara ni uamuzi
Pili kuhusu mtu kupigwa majungu mi nadhani hizi ni hisia ambazo mtu anaamua kuwa nazo. Unaweza kuassume sio wewe na mambo yakaenda tu, sababu pengine hao wanapiga story zao ambazo hazimhusu yoyote humu. Walisema "shangazi" hivi au vile how sure wanakua wanamaanisha yule unamfikiria?
Kuhusu kuselfika, labda umeingia hivi karibuni. Humu wengi zamani akiwemo huyo lamomy walishaselfika sana sana japo haizuii kuendelea kuselfika au kuweka picha zozote.
Btw ushauri wako mzuri pia
Tatizo kubwa kwenye hii post watu wana makasiriko ya bure tu. Wala hakuna ulazima wa mtu kuselfika, mtu anaweza kuamua kuwa muangaliaji au kuwa mchangiaji kwa wale walioselfikaKwani mimi nabishana na Nani?
Na pic yangu wewe itakusaidia nini kwenye maisha yako ya kawaida achilia hapa JF??
Ukiselfika wewe inatosha, punguza shobo.
Nimewaambia hii ni km timu ya mpira sio wote wachezaji, wengine sisi ni washangiliaji..!!Tatizo kubwa kwenye hii post watu wana makasiriko ya bure tu. Wala hakuna ulazima wa mtu kuselfika, mtu anaweza kuamua kuwa muangaliaji au kuwa mchangiaji kwa wale walioselfika
Pia story mbili tatu kuwepo sio mbaya, zitakua zinawekwa picha tu bila hata story kidogo? Watu waache makasiriko
Ndio utulie sasa, ukiona vipi selfika wewe simple tu wala hutumii nguvu.Haiwezi kunisaidia chochote,Ni accusation zimeeleza huweki picha ni maneno matupu.
Nikushobokee ili iweje?
ni sahihi mkuu. Mimi huu uzi sijaanza kuufatilia muda mrefu pengine ziliwekwa huko zamani, Hakuna ulazima hata hivo.Kwanza kabisa kwenye watu wengi lazima watu wawe tofauti, hii ni nature. Japo inawezekana kutokua hivyo kila mara ni uamuzi
Pili kuhusu mtu kupigwa majungu mi nadhani hizi ni hisia ambazo mtu anaamua kuwa nazo. Unaweza kuassume sio wewe na mambo yakaenda tu, sababu pengine hao wanapiga story zao ambazo hazimhusu yoyote humu. Walisema "shangazi" hivi au vile how sure wanakua wanamaanisha yule unamfikiria?
Kuhusu kuselfika, labda umeingia hivi karibuni. Humu wengi zamani akiwemo huyo lamomy walishaselfika sana sana japo haizuii kuendelea kuselfika au kuweka picha zozote.
Btw ushauri wako mzuri pia
Wala hakuna kabisa ulazima, ni pale mtu anapojisikia kufanya hivyoni sahihi mkuu. Mimi huu uzi sijaanza kuufatilia muda mrefu pengine ziliwekwa huko zamani, Hakuna ulazima hata hivo.
Unajua watu wanaumia bure na vitu ambvyo hata mtu haviishi in real life. Wangekua wanaingia huku just for burudani wala haya yote wasingeumia nayoNdio utulie sasa, ukiona vipi selfika wewe simple tu wala hutumii nguvu.
Hii ya kujifanya unataka niselfike sio kazi yako kuniambia
Hahaha, umenikumbusha mbali Sana, those were the days 😊😊Pages za mwanzo tumezijaza sisi.
Msiiweke jf kama sehemu ya maisha yenu halisi, hutaumia na lolote. Sasa kweli mm mfano nianze kulalamika kwa nini wewe au fulani hajaweka picha si unakua utoto huosawa.
Ss hivi watu sukari zitapanda hapa 😹😹😹Msiiweke jf kama sehemu ya maisha yenu halisi, hutaumia na lolote. Sasa kweli mm mfano nianze kulalamika kwa nini wewe au fulani hajaweka picha si unakua utoto huo
Kweli uache kufanya mambo ya maana huko uje kulia mtu hataki kuweka picha?
Ngoja nisaidie kuweka, hiyo hapo
View attachment 3125931
Kuanzia kesho ntakua naselfika najaza mipicha humu aisee😂😹😹😹 shangaa wewe!!
Ila wao wanataka Lamomy tu.!!
Chalamila aandae Toyota festival akashiriki walau apunguze sukari 😹😹Kazi ipo aisee vitu vinavyoumiza watu vinashangaza sana
Waekee mipicha ya t-shirt watuungishe 😹😹😹Kuanzia kesho ntakua naselfika najaza mipicha humu aisee😂
Kuna vitu aisee, kwa hiyo watu wakiweka picha hata maoni hutakiwi kutoa? Hata North Korea hawaishi hiviWewe bana mi Sina wa kumfatilia Ila nikiona chakula kipya nitaomba recipe, nikiona picha lazima nitoe maoni 😹😹😹
Eti jamani 😹😹Kuna vitu aisee, kwa hiyo watu wakiweka picha hata maoni hutakiwi kutoa? Hata North Korea hawaishi hivi
Wewe kuwa huru kutoa maoni na kuandika kile ambacho unapenda as long as hutumii lugha ya matusi wala lugha mbaya