Selfika na JF: Snap it. Show it

My munchkin aka Kisura Mdogo πŸ˜‰.

View attachment 3126737
Hongera Mkuu, you have been blessed with a very nice daughter

Wanasema mtoto wa kike ni rafiki wa BabaπŸ‘Š

Siku nikifanikiwa kupata mtoto wa kike kwenye Uzao wangu, lazima ninunue Mbwa mkali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi nyumbani

Sitaki akina Kapachino na wenzake akina Half american hata wamsogelee πŸ€—
 

Mkuze mwanao katika maadili mema inatosha. Hujawahi ona wale watoto wanafichwa fichwa ila siku wakipata upenyo wanarudi na matatizo nyumbani? Hamna haja ya mbwa.

Hapa jirani yangu kuna mama alikua anamficha sana binti yake sasa hivi ana watoto wawili na wote kazalia home hata kidato cha nne tu hakufanikiwa kumaliza.
 
Malezi ya watoto Kwa maisha ya sasa ni changamoto sana

Sio watoto wa kiume Wala wakike

Ni kumuomba Mungu tu asaidie, japo ukiwalea kwenye hofu ya KiMungu inasaidia kiasi

Kuhusu mtoto wa kike, hunishauri kitu Mjukuu

Pamoja kwamba nitakuwa najitahidi kumlea katika misingi ya Kiimani, lakini lazima atakuwa wa geti Kali kweli kweli.

Yaani nikimpata nitakuwa na Wivu nae mno, hata yale maandishi "tunauza barafu hapa" nitayafuta na kuandika "Mbwa Mkali" 😜
 
Mkuu umri umeenda ila bado unaona vzr saana.
 
Enzi za ujana wetu mabinti wa sampuli hiyo ,walikuwa na usemi wao.'Hapendwi mtu ,linapendwa pochi'
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeshafanya sala ya toba, ili either maybe uliyo yafanya Kwa Bibi zetu yasijirudie kwenye uzazi wetu?

Mimi naogopa sanaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeshafanya sala ya toba, ili either maybe uliyo yafanya Kwa Bibi zetu yasijirudie kwenye uzazi wetu?

Mimi naogopa sanaa.
Umefanya nianze kukesha Church nikila Sakramenti ya kitubio

Kwa kweli Mimi pia naogopa sana Vijana wa hovyo kufika nyumbani kwangu saivi 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…